Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Goli la Ben Ng’wani dakika ya 67 liliwapa ushindi Ihefu U20 dhidi ya Simba U20 katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague inayoendelea #AzamComplex , Chamazi. Hii ilikuwa ni mechi ya pili kwa timu zote hatua ya makundi… CAMISETA DE TRAINING CHELSEA FC 2020/2021 STRIKE BLANCO Le shop de football offre le tenue de… Seguir leyendo Highlights | Ihefu 1-0 Simba | U20 Premier League 24/06/2023

Saidi Ntibazonkiza ndiye Kiungo Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF

TUZO ZA TFF: Saidi Ntibazonkiza akabeba Tuzo ya Kiungo Bora NBC Premier League. Amshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ Ni katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga Camiseta Scc Napoli Amarilla x azul 2020-2021 Le shop de football offre le tenue de foot au prix… Seguir leyendo Saidi Ntibazonkiza ndiye Kiungo Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF

Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika… Seguir leyendo Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama highlights…. Chandal Italia 2019 Verde Amarillo… Seguir leyendo Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama Magoli……. Camiseta Manchester United… Seguir leyendo Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89. Camiseta Sao Paulo… Seguir leyendo Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 07/04/2022

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga. Simba wametangulia kwa bao la Bernard Morrison dakika ya 40, kabla ya Coastal kusawazisha kwa goli la Victor Akpan dakika ya 78 lakini Medie Kagere akaweka la pili… Seguir leyendo Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 07/04/2022