Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League – 14/05/2023

Tazama matukio na goli pekee la Edwin Balua wa Tanzania Prisons lililotosha kabisa kuwapa alama tatu ‘Wajelajela’. Camiseta de la 3ª equipación del Real Madrid 2018-19 vente de maillots de football de haute qualité de 100 %, nous vendons les derniers maillots de football pas cher. Maillots de football pour achat en ligne

Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023

Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo. Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue.

Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika… Seguir leyendo Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama highlights…. Chandal Italia 2019 Verde Amarillo… Seguir leyendo Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC. Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo. Tazama Magoli……. Camiseta Manchester United… Seguir leyendo Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023

Magoli yote | Mbeya Kwanza 2-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 01/11/2021

COME-BACK…!!! Ilikuwa ni comeback ya kinyama Mbeya Kwanza wakichomoa magoli yote baada ya kutanguliwa 2-0 na Polisi Tanzania. Magoli ya Polisi yalifungwa na Tariq Seif pamoja na Vitalisy Mayanga wakati Mbeya Kwanza wakisawazisha kupitia kwa Crispin Ngushi na goli la kujifunga la Yahya Mbegu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK: ►WEBSITE:… Seguir leyendo Magoli yote | Mbeya Kwanza 2-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 01/11/2021

NYAVUNI 27/10/2021 | Mabao 10 bora ya NBC Premier League

Tazama mabao 10 bora na yenye kuvutia zaidi tangu kuanza kwa NBC Premier League msimu wa 2021/2022 Medie Kagere, Feisal Salum ‘Fei Toto’ Boban Zirintusa, Vitalis Mayanga, Charles Ilanfya, Jeremia Juma, Willium Edger, Cleophas Mkandala, Emmanuel Martin, Crispin Ngushi ndio wachezaji waliong’ara kwenye mabao bora. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK:… Seguir leyendo NYAVUNI 27/10/2021 | Mabao 10 bora ya NBC Premier League

Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021

Biashara United wameikomalia Mbeya Kwanza na kugawana pointi baada ya sare ya bao 1-1 iliyopatikana katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Jijini Mbeya. Magoli yote yaliyofungwa leo ni ya kideoni, akianza Ramadhan Chombo ‘Redondo’ kuitanguliza Biashara dakika ya 13 kisha Hamis Kanduru akachomoa kwa goli kali dakika ya 81. Tufuatilie kwenye… Seguir leyendo Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021

Goli la Coastal Union ikiichapa Biashara United | NBC Premier League – 20/12/2021

Hili hapa goli la Coastal Union ikinyakua pointi tatu za NBC Premier League dimbani Karume Musoma Mara dhidi ya Biashara United Mara Camiseta Kelme 1a Espanyol 2018 2019 Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de foot. Acheter des maillots, accessoires, chaussures et vetements de football

Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89. Camiseta Sao Paulo… Seguir leyendo Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022