Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023



SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.

Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika ya 66 na goli la kufutia machozi kwa Polisi limetoka kwa Hennock Mayala dakika ya 85.

Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus

34 comentarios

  1. Simba roho mbaya kama kutu kwenye bati. Hivi upo nafasi ya pili mwenzio yupo anapumulia gas unashindwa kabisa kumuokoa, kumbuka yanga alikubeba wakati unataka kushuka daraja. Ndio maana unaroho mbaya kama kutu

  2. WEWE KOCHA WA SIMBA MBONA MOSES PHILI HACHEZI? BALEKE ALIUMIA NA AKATOKA KWANN USIMWINGIZE MOSES PHILI? HUYO PHILI TULIMGOMBANIA SANA MAANA TIMU NYINGI ZILIKUWA ZINAMHITAJI. SASA NAKUSHANGAA WEWE KOCHA UNAMATATIZO GANI NA PHILI?TUNAOMBA PHILI ASIACHWE SIMBA MAANA BORA SANA. AU UNACHUKI NAYE? TAFADHALI WEWE KOCHA MWANGALIE PHILI NI BORA SANA

  3. Kitambo nilisema huyu Peter manda ni mchezaji mzuri sana akipata mtu mwenye kasi kama yake kwani anamikimbio mizuri huyu akawa karibu na saidoo phiri, kibu, sakho kisha na huyo baleke basi simba yaeza kua moto 😊

Los comentarios están cerrados.