Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022



Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague

Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89.

Camiseta Sao Paulo Segunda Equipación 2021/2022 Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de football pas cher 2020 2021 sur la boutique 100% football

46 comentarios

  1. Muendelezo kam huu na morali mlioinesha kweny mechi hii tunatak uwe muendelezo kweny mechi zote watani utopolo wala mihogo wataumia san hahaha mungu ibariki simba mungu tubariki mashabiki wa simba na wanacham tuendelee kuiunga mkono klabu yetu bora na pendwa

Los comentarios están cerrados.