Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 07/04/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga.

Simba wametangulia kwa bao la Bernard Morrison dakika ya 40, kabla ya Coastal kusawazisha kwa goli la Victor Akpan dakika ya 78 lakini Medie Kagere akaweka la pili dakika za nyongeza.

Haya hapa magoli yote

Camiseta Real Madrid 2ª Equipación 2019/2020 Mujer Jusqu’à -70%

47 comentarios

  1. Yani ukitakujuwa ile ni dhuluma hata ile clip ya lile goal ambalo mshika kibendela alili kataa haija wekwa kabisaa Mungu ni mwema kila wakati na muda siyo mrefu likapatikana goal lilingine na kwa style hiyo siyo marefa hadi washika vibendela mtaishia hapa hapa kwa hizo dhuluma zenu,dhuluma siyo nzuri jombaa.

Los comentarios están cerrados.