Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague
Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89.
Camiseta Sao Paulo Segunda Equipación 2021/2022 Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de football pas cher 2020 2021 sur la boutique 100% football
Comentarios
46 respuestas a «Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022»
Chama jmn Chamaa wewee
Jifunze kuongea kiarabu kwa njia nyepesi kwa wanaoanza gusa maandishi ya bluu
https://youtu.be/8FXdjTk2ciw
Alisikika msemaji mmoja ivi kwamba chama hajui mpira nazani ukimuliza mda huu hana cha kusema
Sa mbona wanabinua matrakoo?
Kwn cham kwann uko ap ustahil kuchezea bongo hii ungeend zako kuungna na kin killian mbappe na messi huk qatar
na hichi ndicho wanachostahili watu viburi wenye midomo mirefu
Picha mbovu sana
Hii alo we
Jaman mweeeeee😀😀😀
Simba ni baba laloo najivunia sana kuwa shabiki wa 🦁🦁🦁 zeen naipenda kutoka moyoni ❤llove you simb🦁🦁🦁🌹🌹🌹❤❤❤❤💪💪💪
Dah uyu mwamba msumbufu namkubari kweli
Pamoja sana
Wali wakushiba huonekana kwenye siniaa hahaaaaa mtangazaji wewee unamambo
Kama timu yako haijawah fungua 5 sema nikupe afutatu🤣🤣
Hii game hainitoshi kuitazama mchezo mtam san asie kuwa mshabiki wa simba tunamkaribisha aje aupe afya moyo wake simba raha sana
Chama na Messi ni mtu na mdogo wake😂
Uyu chama jamani mh CIO Mtu wa kisport sport anaujuwa Mpira na anaujuwa Tena in short analijua boli
P.O.S and C.C.C💪🦁
Sakho hatari magoli yakeyanakuaga msumari balaa
Sakho atua mtu siku
Hongereni wanasimba
😇😇😇💥
Upuuzi
Chama ni messi mtupu
Geita!
Pamoja na ushindi huu , sijafurahishwa ña wanavyocheza na kama hawataki kumpa timu mgunda ni shida nyingine hiyo
Mzamiru, Chama na Kanoute kwenye ubora wao
Nimeona2 kibu denis amempa heshima CCC
#rashidi_idea Simba ,,🦁🦁🥩🍗
Kipa mpuuz huyu
Ila chama anajua kukera🤣🤣🤣🙌🙌
Hamna goalkeeper hapa goal la Sakho linakuja analiona mpaka liningia analiona goalkeeper mjinga sana huyu
Huyu Chama ni Messi mtupu!😄🔥🔥🔥
Nahona wafalme wako mwanza kabisa
Wapi kibu denis
Hiiiiiiiiiii!!!!?, Haloo weeeeeeeee🤣🤣🤣
Mnyama mnyama mnyama Simbasc 💪 Moja kumpga mtu mkono niasili yake kama hujapigwa tano au sita jibu hapo asili ni asili tu
KUFUNGWA AFUNGWE GEITA KUUMIYA WAUMIYE UTOPOLO MASENGE FC.
Hongera Simba, hongera Chamba
Naskia kuna wachezaj wanafananishwa na chama,epuka matapeli chama ni mmoja tuuu
Ila Chama anajua kuwaaibisha wenzie🔥🔥🔥
Tunaua tu
Chama kama anadansi kumbe ndo balaa
Kilichomponza geita gold fc ni kujifanya mkubwa mbele ya mkubwa na icho kitaendelea kuwaumiz na kuumiza vilabu vyengn alitakiwa atuheshimu ata kam yupo nyumbani
Nice finish
Muendelezo kam huu na morali mlioinesha kweny mechi hii tunatak uwe muendelezo kweny mechi zote watani utopolo wala mihogo wataumia san hahaha mungu ibariki simba mungu tubariki mashabiki wa simba na wanacham tuendelee kuiunga mkono klabu yetu bora na pendwa