Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 07/04/2022



Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga.

Simba wametangulia kwa bao la Bernard Morrison dakika ya 40, kabla ya Coastal kusawazisha kwa goli la Victor Akpan dakika ya 78 lakini Medie Kagere akaweka la pili dakika za nyongeza.

Haya hapa magoli yote

Camiseta Real Madrid 2ª Equipación 2019/2020 Mujer Jusqu’à -70%

Comentarios

47 respuestas a «Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 07/04/2022»

  1. Avatar de Paschal Damian

    Shukuruni sana kadi nyekundu nyie mikia

  2. Avatar de Maiko Kapelo

    Kwani.makoro.wanasemaje.yanga.tamuuu

  3. Avatar de Lawrence photography and Safari

    Hilo nimgoli la manura kabisa maana manara na yeye anafanya MAKOSA yale yale angekua asingefungwa kabisa MAKOSA yale yale anayarudia

  4. Avatar de Venasi t kisiga Venasi t kisiga

    Simba ni simba2 muda mchake anakuosha

  5. Avatar de augustino mathias

    Hongera simba ila tatzo la simba ni foward tu

  6. Avatar de Diana Robert

    Simba hapo mbele ipo shida kubwa sana utulivu wa hali ya juu unahitaji watu wanafika lakini kufunga sasa ndio mtihani

  7. Avatar de FABIAN DANIEL KATIKIRO

    Yaah mabeki wa coast union wazembe kweli???

  8. Avatar de Ramadhani amri

    Yani ukitakujuwa ile ni dhuluma hata ile clip ya lile goal ambalo mshika kibendela alili kataa haija wekwa kabisaa Mungu ni mwema kila wakati na muda siyo mrefu likapatikana goal lilingine na kwa style hiyo siyo marefa hadi washika vibendela mtaishia hapa hapa kwa hizo dhuluma zenu,dhuluma siyo nzuri jombaa.

  9. Avatar de annastazia assery

    Nikweli kagera Baba laoooo simba Ni simba tu

  10. Avatar de iguchi Park daacha

    Wabena vp juma mgunda

  11. Avatar de Senteu Senteu

    Asante Sana Simba nawapenda cn wachezaji wote pamoja. Nawaxhabiki wote pamoja chama langu kwajin naitwa senteu

  12. Avatar de Rajbeary Juma

    We are the best dkk5 kagere goli2 wakat wao mayere vs Azam dkk90 goli1??❤️

  13. Avatar de Gerald Dilli

    Mbona goli la simba lililokataliwa halipo ?

  14. Avatar de HASSAN SAID

    Double streiker ya chriss na kagere inalipa kwa awamu ya pili leo baada ya kule dodoma na dodoma jiji

  15. Avatar de OMARI Mohamed

    Jaman uji wa futar ni wamotoooooo!??????????

  16. Avatar de Mazigo Koroye

    Mliponea chupu chupu katimu kadogo kamewatoa jaxho et mkimaliza mnatamba wakat hamna lolote

  17. Avatar de Ombeni Ulime

    WANAPOWEKA VIKOSI WAWE NA UHAKIKA, KAGERE HAPO HAYUPO WALA RESERVE, INAONESHA WAANDISHI WANAVYOBUNI

  18. Avatar de Mariapiala Kanje

    Tulinyimwa goli sasa tumefanya kitu sio hahs

  19. Avatar de Mariapiala Kanje

    Dah Hii ndo simba yasni haya km zimebki dakika sifuri hiwa tunafinhaga sie

  20. Avatar de Mariapiala Kanje

    Chama jmn kpotezs goli km tatu leondah sema anpig mno kwa kubembeleza antsmiwa atoe shoot hilo hdi ashindwe kdk kbisa

  21. Avatar de Mariapiala Kanje

    Anayemtukn manuls hajielewi angeendankukas hpo Yeye tuone anavyodak sasa amejithidi embu wamwache bhana

  22. Avatar de Mariapiala Kanje

    Dah ilikuwa tufunge hata nne leo jmn dah basi tu sema haikuwa bhti yetu nfsi nyingi Giorr aliokos la sivyo cha motonangekiom leo hahahs

  23. Avatar de Mariapiala Kanje

    Safi Dimba yangu kwa moira huu tutafika mbali sana mnashambulia hafinmnanifurahisha sana jmn dah Mortison kiboko yao dah alivyourufisha huo mpira sasa utaiwa Mortisoni jmn huwii

  24. Avatar de ZENO NZUMI

    Video is very Low Quality ?

  25. Avatar de Omar Khamis

    Vp gsm anajua kua hayomajuahayake yame tota ?

  26. Avatar de nurdin mfamau

    Magoli Niya Ramadhan Karim

  27. Avatar de d flavour

    Mbona Sijaona ile Kona refa akasema mpila ulikua umeshatoka

  28. Avatar de Jamil Platnumz

    Kwan Kuna Watu wanateseka

  29. Avatar de Edwini Tesha

    Video za Azam ongezeni ubora

  30. Avatar de FaraJa Issaka

    Huyo manula amesha choka uyo hamna kitu anafungwa magoli ya hovyo yan bola kakolanya

  31. Avatar de Ali Yussuf

    Makolo mnajifariji tu ubingwa msimu huu muusahau