SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika ya 66 na goli la kufutia machozi kwa Polisi limetoka kwa Hennock Mayala dakika ya 85.
Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus
Comentarios
34 respuestas a «Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023»
Love you simbaaa❤❤❤❤alhmdhulillah
DUUuuu
https://youtu.be/PzUGcrOahcA
BYARI UMUNEZERO UDASANZWE 👏🏿
UBWO KAGANGA YASESEKARAGA IKIGALI ✈
UBWO MUHOZA YAMUBONAGA YARIZE AYO KWARIKA😭 IBYA HIGUE BIKOMEJE KUBA AMAYOBERA🫣
https://youtu.be/PzUGcrOahcA
BYARI UMUNEZERO UDASANZWE 👏🏿
UBWO KAGANGA YASESEKARAGA IKIGALI ✈
UBWO MUHOZA YAMUBONAGA YARIZE AYO KWARIKA😭 IBYA HIGUE BIKOMEJE KUBA AMAYOBERA🫣
Banda jamani🦁🦁🦁🦁🦁🙄
Polllleeee
Kisukum
Kisakum
Simba roho mbaya kama kutu kwenye bati. Hivi upo nafasi ya pili mwenzio yupo anapumulia gas unashindwa kabisa kumuokoa, kumbuka yanga alikubeba wakati unataka kushuka daraja. Ndio maana unaroho mbaya kama kutu
🤣 Antibiotic inaua baada ya kutibu hapo chacha
Ila hizi quality za video jamani duuu 😢😢😢
Simba hakuna sehemu muhimu ya kama yagorikipa huyu dogo bado alafu makosa yake niyale yale yakujiludia
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa nakumbuka alikuwepo mchezaji akiitwa Oleg Salenko wa Ukraine alifunga Mabao matano kwenye World cup ya mwaka 94
Baba ester na kumwaga majiii 😀🔥🔥🔥
mi ninachoomba kwa robatinyo huyu kijan ajaribu kumuwamin anacho kitu atatupa miguuni mwake pita banda
WEWE KOCHA WA SIMBA MBONA MOSES PHILI HACHEZI? BALEKE ALIUMIA NA AKATOKA KWANN USIMWINGIZE MOSES PHILI? HUYO PHILI TULIMGOMBANIA SANA MAANA TIMU NYINGI ZILIKUWA ZINAMHITAJI. SASA NAKUSHANGAA WEWE KOCHA UNAMATATIZO GANI NA PHILI?TUNAOMBA PHILI ASIACHWE SIMBA MAANA BORA SANA. AU UNACHUKI NAYE? TAFADHALI WEWE KOCHA MWANGALIE PHILI NI BORA SANA
peter banda ni bora kuliko sakho,lakini nashangaa sakho kuanza mbele ya banda
Tukisema ukweli makamela ya Azam ni mabovu hayaoneshi vizuri nunueni kamela Kama za sper sport
Nimefurahi
Tayari wameshamkatia tiketi ya kurudi Tanzania Mayele ili aje atetee kiatu cha dhahabu!
🦁🔥
❤❤❤❤❤❤ fantastic one love Simba s.c
Hamna kipa hapo
Mbona wanapenda sana Jersey number kubwa kubwa
Sasa tukute mkude ,nyoni na bocco wanabaki peter banda mnamuondoa tutawashangaa sana
Simba nguvu moja
Walivyoserious sasa km wanapambania kombe 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣
Mipango iyo Ila ndivo mlivo mnawafanya mashabiki wenu wasioji kitu kusu kombe wa usajil
Nguvu moja
Simbaaaa
Kitambo nilisema huyu Peter manda ni mchezaji mzuri sana akipata mtu mwenye kasi kama yake kwani anamikimbio mizuri huyu akawa karibu na saidoo phiri, kibu, sakho kisha na huyo baleke basi simba yaeza kua moto 😊
Saidoo #nguvumoja 🔥🔥❤️❤️🦁🦁🦁
https://youtu.be/EMFFNGPEZWM
Naomben like jaman leo nimewahi