LIVE – SHEREHE ZA UBINGWA, YANGA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO – NBC PREMIER LEAGUE 09/06/2023

Shughuli inafanyika kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliomalizika kwa ushindi wa 2-0. Huu ni ubingwa wa 29 kwa Yanga kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Camiseta de la equipación local del Manchester United 2019-20 accessoires pour homme, femme et enfants à petits prix par des grandes… Seguir leyendo LIVE – SHEREHE ZA UBINGWA, YANGA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO – NBC PREMIER LEAGUE 09/06/2023

Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022

Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86. Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania… Seguir leyendo Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022

Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022

HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na… Seguir leyendo Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022

Highlights | Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League 12/06/2021

YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER: ►FACEBOOK: ►WEBSITE: Camiseta de la 2ª Equipación del GETAFE… Seguir leyendo Highlights | Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League 12/06/2021

Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League

YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj. Magoli ya Yanga yamefungwa na Yohanda Ndushi na Abby Mikimba. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM:… Seguir leyendo Magoli | Yanga 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League

Mbeya City 1-1 Yanga | Magoli na kadi nyekundu | NBC Premier League 25/06/2022

Yanga wamepata sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya. Yanga wametangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Hamad Wazir kabla ya Mbeya City kusawazisha kwa penati iliyopigwa na Joseph Ssemujju baada ya nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto kuunawa mpira… Seguir leyendo Mbeya City 1-1 Yanga | Magoli na kadi nyekundu | NBC Premier League 25/06/2022

Magoli | Yanga 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 22/06/2022

Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Haya hapa makombora yenyewe. Camiseta Rcd Mallorca 1ª Equipación 21-22 Achat en ligne ➤ Football maillots… Seguir leyendo Magoli | Yanga 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 22/06/2022

Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. CAMISETA FRANCIA VISITANTE 2019/20 MUJER Acheter des centaines de maillots d’équipe à prix d’usine, la livraison… Seguir leyendo Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022

Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022

YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi. Haya hapa magoli Camiseta Flamengo Segunda Equipación 2021/2022 Les ventes de… Seguir leyendo Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022

Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022

YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi. Suecia 2018 Camiseta de la 1ª equipación maillots de foot pas… Seguir leyendo Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022