Kagera Sugar 2-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022

Goli la Paterne Counou sekunde ya mwisho ya mchezo limeharibu sherehe za ushindi kwa Mtibwa Sugar, ngoma ikimalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani, Morogoro. Mtibwa walianza kwa goli la Omary Hamis Selemani dakika ya 78 licha ya kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 45 baada ya straika wake Charles Ilmfya… Seguir leyendo Kagera Sugar 2-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022