Tazama matukio na goli pekee la Edwin Balua wa Tanzania Prisons lililotosha kabisa kuwapa alama tatu ‘Wajelajela’.
Camiseta de la 3ª equipación del Real Madrid 2018-19 vente de maillots de football de haute qualité de 100 %, nous vendons les derniers maillots de football pas cher. Maillots de football pour achat en ligne
Etiqueta: ligi kuu
-
Highlights | Kagera Sugar 0-1 Tanzania Prisons | NBC Premier League League – 14/05/2023
-
Magoli | Namumgo FC 1-1 Singida Big Stars | NBC Premier League 09/06/2023
Tazama magoli yote mawili… Aliyeanza ni Bright Adjei dakika ya 69 na aliyejibu ni Pius Buswita dakika ya 79. Namungo ikatoika sare ya bao 1-1 na Singida Big Stars kwenye Uwanja wa Majaliwa…. moja kati ya michezo wa kuhitimisha msimu iliyopigwa leo.
Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Niño maillot de foot manche longue. -
Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023
SIMBA vs POLISI TANZANIA: Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli matano, Simba ikiishusha rasmi daraja Polisi Tanzania kwa kuipa kichapo cha mabao 6-1 kwenye mchezo ligi kuu ya NBC uliopgwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.Saido amefunga magoli hayo katika dakika za 16′, 21′, 27′, 79′ na 89′ huku goli lingine likifungwa Israel Patrick Mwenda dakika ya 66 na goli la kufutia machozi kwa Polisi limetoka kwa Hennock Mayala dakika ya 85.
Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus -
Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023
Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC.Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo.
Tazama highlights….
Chandal Italia 2019 Verde Amarillo Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher. -
Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023
JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC.Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo.
Tazama Magoli…….
Camiseta Manchester United Segunda Equipación 2021/2022 Jusqu’à -70% -
Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021
Biashara United wameikomalia Mbeya Kwanza na kugawana pointi baada ya sare ya bao 1-1 iliyopatikana katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Jijini Mbeya.Magoli yote yaliyofungwa leo ni ya kideoni, akianza Ramadhan Chombo ‘Redondo’ kuitanguliza Biashara dakika ya 13 kisha Hamis Kanduru akachomoa kwa goli kali dakika ya 81.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Camiseta de la 1ª equipación Liverpool 18/19 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓ -
Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022
Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeagueMagoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89.
Camiseta Sao Paulo Segunda Equipación 2021/2022 Maillots de foot pas cher – Retrouvez en exclusivité tous les nouveaux maillot de football pas cher 2020 2021 sur la boutique 100% football -
Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 20/12/2022
Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66.
Tazama highlightys…
Camiseta España Portero en negro 2020 Edición Copa De Europa Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires. -
Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022
Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86.
Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania walipata pigo kwa mshambuliaji wao Ambrose Awio kutolewa kwa kadi nyekundu kufutia kadi ya pili ya njano.
Camiseta FC Bayern Munich Segunda Equipación 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher. -
Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022
Tanzania Prisons imeendelea kufanya vibaya kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine, Jijini Mbeya baada ya leo kupigwa 2-1 na Singida Big Stars, mchezo wa #NBCPremierLeagueMagoli ya Singida yametoka kwa Bruno Gomes dakika ya 5 na Medie Kagere dakika ya 57 huku Tanzania Prisons wakipata bao lao pekee kwa penati dakika ya 79 kupitia kwa Jumanne Elifadhili.
Camiseta de Espana Mujer 2019 2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus