Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo.
Tazama highlights….
Chandal Italia 2019 Verde Amarillo Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.
Comentarios
38 respuestas a «Ihefu 0-2 Simba | Highlights | NBC Premier League 10/04/2023»
Balekeeeee tayari bwana dah Ni hatar sana
Kwanini Ali Salim asiwe number moja mana uwezo wake ni mkubwa kuliko Manula
Manula kashacheza daby nying zana inayofuata jama mueken Ali salim. Huyu ni kipa mzur sana kama mutamtumia amechangamka kiufup
Simba kumbe kipa tunae half bado tunateseka
Jumaa pili mimi kama mwana simba naomba muanze na huyu kipa Ali salim. Ni bonge la kipa yani.
Simba ni namba moja daima one on trending.
Karibu Unisapoti Kutazama huu Wimbo Na kuusambaza Zaidi
Kwa ku bofya hapa
https://youtu.be/qTL6aLwvEwI
Baleke ni superdupaa striker👊👊👊
Balekele hatar
Balekeeeeee tayari bwana
Mahundi kafanya nini kwa kibu
Amna refa apo
Hakika simba n kubwa na ndio maana tulibadil kikos
Baraka bwana eti hili jitu la wapi🤣🤣🤣🤣
My man of the match jamn mie ni uyo kipa salim anabalaaaaa manura akifanya masiala atapitwa kwa kas ya 6g
balakeee
Bhaleke hatari Sana Moto
Hongera Sana Simba yangu kipenz nikupendaye mno Kwa ushindi bhaleke asante sana Kwa ushindi huu mnee
Uwiii baleke utaua c Kwa mshuti huo nasemejeee tarehe16 utopolooo………
Ewaaaaa huyu baleke tymelamba dume wanalunyasi 🔥🔥💪💪💪💪💯💯💯golikipa apewe nafac huyu yuko vzr
Sisi kama wananchi tunawasubiri kiboko ni ile ile
Wamejitahi kujificha kwenye masha ya mpunga wamejikwaaa hawa madogo hiyo dozi ndgo
Like wa aliy Salim kanidakia mipila
Mpenja mpatie jina baleke?
Tumempata mtu sahihi
On trending
Ebwanaee kama ulaya
Balekeeeeeeeeeeeeeee3eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahhaha et tayri
Mtu tunae yule jamaa fund
WALE WAMATOPENI ROHO MKONONI HUKO NASKIA KWA BALRKE KKKK
Heheheheeh azam bana kwaiyo baleke wako wangapi simba naona sub yupo na walioanza yupo
Hongera ally salim umeoonesha kiwango chako
Jmn ally salum apite kwenye ya yanga maaan katusaidia sanaaa jmn angekuwa aish apo tungefungwaa sanaaa ilaaa salum katubeba😭😭😭😭
Baleke kaiva
Jana hatujalala tumekesha tunabembeleza
Baleke alikua analia usiku kucha analalamika kwanini hajaondoka na mpira kwenye mechi ya lhefu
Ikabidi tumuahidi kuwa ataondoka nao April
16 ndo akanyamaza na sisi tumerudi vyumbani kwetu kulala sasa
Nyie kijana ana uchungu na maisha huyu
Alieona kama mim baleke kapta na mwandishi goli la pili kule nje😅
Goli kubwa linafungwa na mchezaji mkubwa