JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo.
Tazama Magoli…….
Camiseta Manchester United Segunda Equipación 2021/2022 Jusqu’à -70%
Comentarios
28 respuestas a «Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023»
an yanga hawaitanii simba
Baraka mpenja bhana , eti tayar bhNaa
Baleke Anafunga Hadi Shule💯
Noma sana
baleke
WEWE MTANGAZAJI WA AZAMU KTK KIPINDI CHA ALASIRI LONG ACHA USHABIKI WA HIVO SIO SAWA HATA KIDOGO JE MSHIKE MSHIKE WAFANYE KAZI GANI WE NJUKI ACHA KABISA SIMBA NA YANGA SOTE NI TANZANIA HIZI TIMU NI DAR ES SALAAM
Yaani baleke fundi
Yuko vizur bareke wetu
😝😝😝😝😝😝
Naomba Baleke atutaftie style nzuri ya kushabikia kwaajili ya msimu ujao aisee huyu anaenda kumzima Mayele
Ni suala la mda tuu Baleke Sakho 16 mnipasuliee kipa wa utopolo
Mm naomba mungu asirudi mazembe
Jitu la kazi kweli
👁️👁️👁️👁️👁️👁️👁️👁️👁️👁️
Tusubiri derby kama atafunga
Ila barak anafufua walio lala nyie sauti yke km peter drury
Tayari bwana😂😂😂😂Mpenja ni mmbea
Tafuteni lefa mzuli acheni makando kando
Hahaha Belekeeeeee
Bonge moja la bao balekeeeeee
♥️♥️♥️♥️🦁🦁
💥💥💥🇹🇿
Q
❤❤❤❤❤❤
Hakika huyu ni baleke baleke bagambe 😂😂
waoonh jitu hili ni lawapi😂😂😂
Waoo ooh anafunga goli la dunia
Baleke nakupenda sana