Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86.
Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania walipata pigo kwa mshambuliaji wao Ambrose Awio kutolewa kwa kadi nyekundu kufutia kadi ya pili ya njano.
Camiseta FC Bayern Munich Segunda Equipación 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.
Comentarios
29 respuestas a «Magoli na kadi nyekundu | Yanga 3-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 17/12/2022»
Hawa Marefa
Bado tabia ya kununua marefa utopolo hawajaacha
Yanga bingwa tena hadi 2030
Viva Wananchiiii Viva YANGA 💚💛🏆🏅 Daima mbele nyuma mwiko 🔥💯
Mwambie phili abali anayo
Clement yupo vizuri
Kipaa katuchoma polisi
D juma shaban alikuwa anatumia mkorogo nini mbona saas iv kawa mweus
Mayele bwana
Anapiga simu uwanjani🤣🤣🤣🤣🤣💚💛
💚💚💚💚
Super Benny anaendeleza maasisit yake.Mayele akiendelea hivyo atakuwa nusu Fei nusu Fiston nje ya boksi hongera Clement kazana kijna
💚💛💚💛💛
Wananchiiii 🔥 subscribe this channel
Kiukwer polisi wamekula sahani moja na waalifu wameuza mechi kipa ndio afai kabisaaaa
Na kocha wa polisi nahisi aliwaambia wachezaji," kuweni serious, mnataka hela au hamtaki hela"? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ebwanaeeeh huyu Mzize achaneni nae!
Ila hayo mabango yamezunguka huyo mwamposa nae
YANGA 💚💛💚💛 Yanga bhana daaah inatisha sana
Kijana mdogo sana anakuja juu sana siku hizi MZIZE CLEMENT
Ivi tulkwama wap kwa ihefu….🙄
Hii Yanga Bora ihamie Europe icheze na Akina Baselona na Intamilani sio Hawa ma Mbambamba 😂😂
Jezi nyeusi😋😋😋
Mayele ni problems kabisaah hapa mjin
Wasenge tu hawa
GAME IJAYO TUNAOMBA TUCHEZE SISI
MASHABIK WACHEZAJI WETU TUNAOMBA
WAPUMZIKE, TUNATAKA KULUDISHA,
UPENDO KWA FADHILA
Azizi k anakela jaman ooooh ety saw a na chama chama wa konyooo
Yanga Hii ni noma sana💚💛
Kamanda Mlilo hawa wachezaji ww yanga weka ndani kwa muda wa siku 3 kama yalivyo magoli kwa kukosa adabu kuifunga polisi
Huyo nyota wa yanga mzize atakuja awe mzur Zaid kwenye socal la mpira me namuona mbali huyu atacheza virabu mpaka na nje!