Goli la Paterne Counou sekunde ya mwisho ya mchezo limeharibu sherehe za ushindi kwa Mtibwa Sugar, ngoma ikimalizika kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Manungu Turiani, Morogoro.
Mtibwa walianza kwa goli la Omary Hamis Selemani dakika ya 78 licha ya kucheza pungufu kwa zaidi ya dakika 45 baada ya straika wake Charles Ilmfya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 30 ys mchezo.
Chaqueta De Chándal Real Madrid A226 Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off.
Comentarios
10 respuestas a «Kagera Sugar 2-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022»
Hii game ukiiangalia sana kama kagera wameuza
Anuar jabir ameambiwa "Kuwa serious unataka hela hutaki hela ww"🤣🤣 mexime bhana,lazma hii moment itakuwepo kwenye nyavuni 13:01
kuna ulazma wa kucheza mpira usku, taa hafifu sana
kimemshinda kiyatu aje afunge goli la mwaka
Maxime vp!unaongoza halafu unaingiza washambuliaji badala uimarishe ulinzi!poor plan🙌
Goli la mwaka hili la dube labda aje afunge mayele tu bac
Burudani kwa watu Million 6 na ushee you are doing well
Burudani kwa watu Million 6 na ushee you are doing well
Hili goal la mhilu lingekuwa yupo hizi team mbili kubwa angekuwa gumzo week nzima
Samweli