RUVU vs AZAM: Dakika tano za mwisho zimekuwa chungu kwa Ruvu Shooting, wakichezea kichapo cha mabao 2-0, moja likifunga na Obrey Chirwa dakika ya 85 na lingine la kujifunga kupitia kwa Michael Aidan dakika ya 90 kutokana na hekaheka za Obrey Chirwa.
Ni mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
CAMISETA PUMA MANCHESTER CITY FC TERCERA EQUIPACIÓN 2019-2020 Le shop de football offre le tenue de foot au prix discount ✌ Les chaussures, les maillots, les survetements et les ensemble de foot. ➤➤➤Visite nous !
Comentarios
6 respuestas a «Ruvu Shooting 0-2 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 16/12/2022»
Kkkk gol lapr bhana
Hahhahaaaaaa Aidan bhn mnafanya Chamaz complex ye2 iwe na gundu bure, siku zingine hatuwapi uwanja kbx
IHEFU 💪🏿💯
wanaume zake walamihogo awo
Hongera ihefu
Ihefu wamepambana