Yanga SC 4-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 17/11/2022



HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66.

Camiseta Paris Saint-Germain Verde 2021-2022 Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.

23 comentarios

  1. Hii mechi haihitaj uchunguz wa watakukuru kujua kwann yanga wameshinda 4 angalia kikos kilichopangwa singida na kocha wao shabik wa yanga af angalia mabek wanavokaba kwa macho wa singida hv kweli mpira wa dario na bruno gomez ungechezwa leo yanga wangeshinda 4 tm ya singida nzima wanaocheza ni kagere kaseke na ndemla

Los comentarios están cerrados.