Yanga wamepata sare ya bao 1-1 na Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya.
Yanga wametangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Hamad Wazir kabla ya Mbeya City kusawazisha kwa penati iliyopigwa na Joseph Ssemujju baada ya nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari.
KADI NYEKUNDU: Katika mchezo huo pia beki wa Mbeya City, Mpoki Mwakinyuke amelambwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kuonesha mchezo usio wa kiungwana na beki wa Yanga, Shaban Djuma dakika 41.
Camisetas Paris Saint-germain Entrenamiento 2021/2022 Maillots Football sur ✓ Livraison 48h ✓ Retour Gratuit ✓ + de 50 000 Produits. Stimulons la pratique du sport ensemble !
Comentarios
42 respuestas a «Mbeya City 1-1 Yanga | Magoli na kadi nyekundu | NBC Premier League 25/06/2022»
Makambo wa Yanga Afrika
Yanga tamu
Eti yanga hii ndio icheze na Mazembe jamani au Zanaco au Al Masry…. ???????? Au BASI
mbona goli la kwanza ni offside
Kwani huyu kepteni mwakijuke alitumwa na Nani UJINGA huu?
Wachezaj wengine washamba sana yan unafanya kosa la kisenge mpira wenu tena umetengwa ili mcheze nyinyi unaamua kumkanyaga mtu makusud shenz kabsa
Unyama
Mimi Simba lakini yanga msifanye kosa kuniacha makambo
Goal la 2 Sio offside,, Africa bado tuna Kaz kubwa
Unateseka ukiwa Wapiii??
Bingwa wa mchongo uyoooo
Goli la pili la makambo sio offside…
Nashangaa sana commentator hajaongea chochote
https://youtu.be/nXKgB9_ys-Q
Maagizo hayo hope yaliambatana na bahasha kwa matukio yote
Meja
Azam ili kulinda madudu ya Janeth barama (kibendera) wameonyesha angle moja tu ya camera hiyo offside ya makambo daah
Ahsanteni sana DAR YOUNG AFRICAN
TUNAWASUBIRI KESHO DAR Insh?
Ila KOLO KALOA,….KOLO KAPOA….KOLO KOLOLA na KOLO KATULIAAAAA??????
Yanga wameokota embe chini ya mnazi….japo na tumbeleko tulikuwepo ..sio mbaya. Wafute Ile ya kihistoria maana ilizid daa
MTANI ACHA WIVU…VUMILIA KAMA SISI TULIVYOVUMILIA
Utopolo wana mambo ya kipumbavu sana, wana uchokoz kama mmbwa mpaka mwenzao anapewa red
Yanga is the best team in NBC,I love it so much from Uganda ??
Kombe lenyewe bayaaa?
Goli la pili la yanga lilikua halali kabsa
Vilijitabiria vitakusanya point 76 kamamazenu ni rahisi ki hivyo mtavunjaje rekodi za watu nyinyi nyinyi mtabaki kuwa utopolo tuuu
Mwamuz peponi
Hongera yanga
Kongole kwa yanga
Hasira za makolo zinawafanya wasione haki
Of side clia yn huu upuuz wakubebwa utopolo utaisha lin wajinga msojitambua mnaharibu soka
Nasema tena Yanga bado team changa hamna kitu.
Mpoki ni mjinga Sana hua namshusha hapo tuu
Nyie mbona mlikuwa mnanunua malefa mbwa nyie mashabik wa kolo
Makolo mulibwanji amna akir
Ubingwa wa ujanja ujanja.GSM kadhamini timu fulani fulani na kudhamini ligi.Kwa mazingira hayo Yanga inashindwaje kuchukua ubingwa? Time Will tell.
Ila hata Mimi nngemkanyaga tu Sasa Kama mchezaji anakusiaya kupiga mpira ulitaka afanyaje ?
Mabingwa wa mbeleko?
Bao LA pili hakuna offside alivunja offside trap
Goli la yanga ni offside kabisa
Ubingwa wa yanga ni wa mchongo kabisa ndiomana hawana furaha na Simba hawajaumia
sio sili yanga huuu ubigwa ni wamchongoo
Offside
https://youtube.com/shorts/V2nIPSIOEdo?feature=share
mbeya nikijan na njano