Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Haya hapa makombora yenyewe.
Camiseta Rcd Mallorca 1ª Equipación 21-22 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓
Comentarios
26 respuestas a «Magoli | Yanga 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 22/06/2022»
Aaaa
Mbeya city vs yanga
Kidene,video
Yanga tamuuuuuu
Feisal
Tayari
Jmn yanga tam tuache utan??????????
Ithnein bin sufur ?
????
What A goal…?!!!!!!!!!???
What A goal…?!!!!!!!!!???
Hatar sanaaa
https://youtu.be/U9EBaCtGjN8 h
Simba oyeeeee ???
Magoli matam
Hongeren AZAM TV???KWA KUTULETEA BURUDAN SEBLEN KWETU. HONGERA BARAKA MPENJA UKO VZR KK
Simba
Champions ??
Huyu feisal ana nguvu ya kupiga miguu yote,
Huyu feisal kapewa vitu vingi kwenye soka na mungu
Hivi yanga watufungwa na nani jamani
Woyoooooooo
Yanga
Duuh hayo n makombora
Yanga chama la wanaaa
Pasi hatari Sana toka kwa mayele
Ibrahim Bacca ni moto wa kuotea mbali pale centre half. Kama mchezaji asiyepata namba anafanya mazoez mara mbili ya yule anayepata namba, bas Bacca anafanya mara 4. Tackling zake zmeenda shule, smooth tackling. Amekuwa bora sana kwny kujiamin na kuanzisha mashambulizi. Bacca mtu na nusu, Mungu amuhepushie majeraha. Ameziba vizuri pengo la Bakari Nondo Mwanyeto