YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.
Haya hapa magoli
Camiseta Flamengo Segunda Equipación 2021/2022 Les ventes de 100% haute qualité du maillot de foot, nous créons les moins chers Prix maillots de football. Acheter le nouveaux maillot de football en ligne.
Comentarios
30 respuestas a «Magoli | Yanga 3-0 Coastal Union | NBC Premier League 15/06/2022»
Yanga tamu mateso sasa basi
Life my
Kuna mastraika na kuna Fiston Mayele
Hii ndio yanga
Mlokozi
Mayelee Mayelee Mayelee ?? onaa alivomchakazaa kipaa wa simbaa…..
https://youtu.be/6y-izZqDJpM
No one like uuuu brother
Life my
Mayele anatetema unatisha
Hii ndo yanga bwana
Mayele hatari
Matangazo yake Baraka Mpenja hayana mfano
IH ni kwa wanayanga wote waweza kutazam APA pia https://youtu.be/pFrgbnEwRCg
https://youtu.be/pFrgbnEwRCg
Hakika inavutiaaa
yanga tamu kweli
Yanga upendooo mwingi ubingwa rahaaa
Asante mung
Wanaoumia ni wengi kuliko coastal union??
Mwendo wa kutetema tu
Used it
Yanga juuuuuuuu
Fantastic diplay
Simba sp0rt club
Simba
???
Huku Songea kuna Redio inaitwa Radio Jogoo then kuna mtangazaji aitwae Juma Moo…akitangaza mpira huo sasaaaaaa… anasema Goli la 3 ni Offside kabisa….jamaa anaboa balaaaaaaa…
???
Usajiri
Good