YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.
Suecia 2018 Camiseta de la 1ª equipación maillots de foot pas cher.net,maillot bayern de munich 2017,le plus beau maillot du psg,nouveau maillot barcelone 2017 prix,numero maillot zidane juventus
Comentarios
43 respuestas a «Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 15/06/2022»
Asante MUNGU nimeamin wakat wake MUNGU ndio wakati sahihi yanga hii iloyodharaulik zaidi ya miaka4 leo ina inang'aa wanayanga tunafurahii baada ya kudharaulika na baadhi ya watu CHICO leo hii anag'aa ni kitu nichokua nakililia kila siku MUNGU kumuheshimisha chico msimu huu hatimae wakat wake umefika nilikua naumia sana chico alifika sehem akapoteza had kujiamin sababu ya maneno ya watu asante MUNGU wangu?? nimefurahi had nimelia
Wanaoumia ni wengi zaidi ya coastal union???
My team is great??
naomba usubscribe kwa habari za michezo
Nimependa staili ya kufunga goli la 3
Nimeangalia mechi na kurudi several times, sijafahamu sababu ya refa kulikataa goli la Aucho. Hapakuwa na faulo yoyote pale
Sw
Daaah yanga hatari
Chiko aliandika kufa nakupona
https://youtu.be/yjDn28eiPvg
Angalia hapa goal la 3 la mayele yapo mengi na sio offside sas kuna wapuuzi wasiojua mpira wanasema ni offside
Yanga mpo
Good
Kwani A.F.C nalo linasemaje
Geita gold
Hivi MTU una akili zako timamu umeacha kazi zako tanga umekuja dar kuja kuishangilia costr kwamba it's shinda dhidi ya yanga dah hayo maajabu
Usajili mpya yanga
Wakowapii. Pumzii. Ya motoo????
Hivi mmemuona mchezaj wa CST alivyo shika tumbo????????
M
Uyu mzungu anasubiri mayere afunge yy ashangilie duh
Goli latatu dah watu akili nyingi
YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI ??????
Ukiangalia kwa makini unaona kabisa mpira wetu ulivyo unahitaji nguvu zaidi kuliko akili ndo maana Pablo amefeli?
Yanga balaaa
Viva yanga??
Kweli mapenzi hayafichiki
Truly mpenja ni RED
Sikiliza vizuri 16:14/19:52
Utajua namaanisha nn
OFF SIDE GOLI LA 3 NO DOUT
Man of the match!
SURE BOY ?
Ila huyu vicent wa kosti sio mtu mzuri duh
Mmeona yaniki alichokifanya ??cjawai ona toka ligi imeanza
Feisal anakiwango cha juu sn kwny soka na km ana Nia ya kufika mbali kisoka basi huu n MDA wake
Yanga tam
2022-2023 Yanga tena Bingwa ukibisha rudi tena mahabara
Tanzania has many beautiful studium. Why can't they host AfCN or CAN?
Huyo refa sijui ni WA coastal union sio kwa kuwabeba huko
Mtu anakuuliza unafanya kazi gan unafikili kushabikia yanga kazi ndogo ????
aaaaaa mayele ndo huyohuyo amemwsgilia mioyo ya wananchi nanukuu tuuu
aaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndo huyohuyo king
be blessed
Mayele asiuzwe bado anajitajka yanga Sana tu
???????
???????
Yanga ndio timu Bora tz