Makombora mawili kutoka wa Feisal Salum #Feitoto na Chiko Ushindi yaipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
CAMISETA FRANCIA VISITANTE 2019/20 MUJER Acheter des centaines de maillots d’équipe à prix d’usine, la livraison est gratuite à partir de 2 articles achetés. Psg, Real Madrid, Barcelone
Comentarios
24 respuestas a «Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/06/2022»
Dijemaki
Dijemac
Asikwambie mtu yanga tamu
Like kwa mshery
Good azam tv burudani kwa wote
I LOVE YOU YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI BWANJI
Mashallah! That's my team? , those are my home boys Mshery, kibwana &job am proud of you?? siwez kuelezea mapenz yangu mazito juu ya yanga ?
hongera yanga
Nilitamka alipoondoka au kufurushwa ndugu Manara kwamba Yanga watachukua ubingwa msimu huu. Nina furaha isiyo kifani. Hongera Dar Young Afrikans.
Hiyo ndio Yanga Africa. ?????????
Yanga tamu nyie???
huyu baca ni hatari
Yanga bingwaaaa
Fanyen ukarabati wa pitch.. Pitch imechoka
Yanga ni mot
What a goal of fisal salum totoo actually all goal are fantastic
Kwa kweli Simba ni wazuri sana Sehemu chache tu wamembwela na wapendasoka Wengi toka Msimbazi wanapongeza juhudi za Yanga Msimu huu. YANGA NI MOTOO
Nabi mechi hii uliwaambia wachezaji wapige mashuti tu
Maswala ya kupiiga makofi duh????
Pia anampa.makambo mechi chache na dkk chache
Chiko kwani alikua na shida gani kwa sbabu hakupewa mechi nyingi
Hongera yanga Africa
Ibrahim back n zaidi ya inonga
Bacca ni hatari.