Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Simba SC imeitandika Geita Gold magoli 5-0 kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco dakika ya 12, Clatous Chama dakika ya 40, Pape Sakho dakika ya 47 na 75 huku Kibu Denis naye akifunga goli lake la kwanza la msimu dakika ya 89. Camiseta Sao Paulo… Seguir leyendo Magoli yote | Geita Gold 0-5 Simba SC | NBC Premier League 18/12/2022

Magoli | Mtibwa Sugar 2-0 Geita Gold | NBC Premier League 13/03/2022

Mtibwa Sugar wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, Manungu Complex, mkoani Morogoro imeitandika Geita Gold 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierleague. Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Nzigamasabo Styve dakika 27 na Mululi Mayanja dakika ya 76. Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot… Seguir leyendo Magoli | Mtibwa Sugar 2-0 Geita Gold | NBC Premier League 13/03/2022

Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022

ROBO FAINALI: Mtibwa Sugar U20 imetinga nusu fainali baada ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Geita Gold U20 kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za mchezo wa robo fainali ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague Haya hapa magoli yote mawili na mikwaju minane ya penati, Mtibwa wakishinda penati zao zote nne huku Geita wakikosa… Seguir leyendo Magoli na penati | Mtibwa Sugar 1-1 Geita Gold (Pen: 4-2) | U20 Premier League 13/07/2022

Geita Gold 2-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 18/06/2022

Magoli mawili kutoka kwa George Mpole na Edmund John yameipa ushindi wa 2-0 Geita Gold dhidi ya Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu, Geita. Camiseta Deportivo Alavés 3ª Equipación 20/21 Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour… Seguir leyendo Geita Gold 2-0 Biashara United | Highlights | NBC Premier League 18/06/2022

Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022

Ni ushindi wa 2-0 iliyoupata Geita Gold FC dhidi ya Dodoma Jiji, mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Nyankumbu mjini Geita. Hapa kuna goli la Edmund John lililotengenezwa na George Mpole dakika ya 8 na kuna goli la George Mpole mwenyewe dakika ya 79 likiwa ni la 15 kwake kwenye ligi msimu huu.… Seguir leyendo Geita Gold 2-0 Dodoma Jiji | Highlights | NBC Premier League 13/06/2022