Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga.
Simba wametangulia kwa bao la Bernard Morrison dakika ya 40, kabla ya Coastal kusawazisha kwa goli la Victor Akpan dakika ya 78 lakini Medie Kagere akaweka la pili dakika za nyongeza.
Haya hapa magoli yote
Camiseta Real Madrid 2ª Equipación 2019/2020 Mujer Jusqu’à -70%