YANGA BINGWA: Ni mechi ambayo Yanga waliitumia kutangaza ubingwa wao wa 28 kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuitandika Coastal Union mabao 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
Fiston Mayele amehusika kwenye magoli yote matatu, akifunga mawili na kusaidia moja lililofungwa na Chiko Ushindi.
Haya hapa magoli
Camiseta Flamengo Segunda Equipación 2021/2022 Les ventes de 100% haute qualité du maillot de foot, nous créons les moins chers Prix maillots de football. Acheter le nouveaux maillot de football en ligne.