Yanga 4-1 Prisons | Magoli | NBC Premier League – 28/05/204



Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons.

Yanga imeshinda magoli 4-1.

Stephane Aziz Ki amefunga hat trick na lingine limefungwa na Kennedy Musonda.

Goli la Prisons limefungwa na Beno Ngasa

Camiseta Real Sociedad 1ª Equipación 2020/21 Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓

26 comentarios

  1. Yaaan hii Yanga ukimtoa Diarra uwanjani hao wengine hamna makipa hovyo kabisa na asilimia kubwa ya magoal yetu msimu yamefungwa Mwamnyeto akiwa uwanjani ni mzembe sana kwenye kufanya maamuzi na clearance inabidi Engineer atafute beki wa kati wa kufanya rotation kwa Job na Bacca.Gift na Mwamnyeto hamna kazi

Los comentarios están cerrados.