Shughuli inafanyika kwenye Dimba la Sokoine jijini Mbeya baada ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliomalizika kwa ushindi wa 2-0.
Huu ni ubingwa wa 29 kwa Yanga kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.
Camiseta de la equipación local del Manchester United 2019-20 accessoires pour homme, femme et enfants à petits prix par des grandes marques tel que adidas, UGG, Converse et plus. Ne ratez pas, Shop aujourd’hui !
Comentarios
32 respuestas a «LIVE – SHEREHE ZA UBINGWA, YANGA WAKIKABIDHIWA KOMBE LAO – NBC PREMIER LEAGUE 09/06/2023»
Unyama yanga wambieni waalab kwamba huku akuna ujuma wa fataki zakutisha 🎉🎉😂😂😂
Tumpe nabi maua yake.
Yanga noma sana
I love young champion♥️🔥🏅🏆🥇
💚💛💛💚chama langu
Hakika naipenda yanga daima 💚💚💚💚💚💚👏👏👏👏👏👏👍
Na mwakani tunachukua tenaaaaaa😂😂😂
💚💚💚💛💛💛🔰🔰🔰
Asante Mungu kwa zawadi hii kwa kutufurahisha ee Mungu ustuache tena
Champione Champione oleoleole
Young African is the big team inTZ..
Asante mungu
💛💛💚💚💚
Makombe yote yanga atachukua so yanga bingwa mkandaji nyumbani na ugenini
2023 number one 🙏🙏🙏🙏
Congratulations Wananchiiiii!!!
Asante Mungu
Yanga bigwa
Asante MUNGU
Yanga yangu ❤
Mpo sahihi Sana mana mwenye asisit nyingi ni chama safi safi wote
Timu yngu hongereni sana❤🎉 na Allah atuwezeshe tumalze mwendo salama 🤲🙏
hongera sana chama langu Mungu ni mwema
Kitu mmoja apewe cha kushoto na mwengie cha kulia kwisney
Vp kuhusu fei
Hao polisi tz wanatia aibu ss ni timu auauzauza wanajua kulinda raia tuu
Tumshukuru Mungu!
We are champion 💛💛💛💚💚
MUNGU ni mwema hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom
Yangaa bingwaa kama unairudia hii sherehee like kama wewe shabiki wa yanga 💛💛💚💚
Hongera Watani zangu Kwa kutwaa UBINGWA wa NBC-2023.
Kombe la.shirikisho yanga wamekosa ubingwa Kwa ajili ya Sheria za kanuni ya goli la ugenini, naleo hapo kuhusu mfungaji.bora kanuni pia zitatumika, km magoli ya Penalty hayahesabiwi bc atapewa ambae Hana goli la penalty, coz Africa si tunaenda Kwa kanuni?