Magoli yote | Mbeya Kwanza 2-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 01/11/2021



COME-BACK…!!! Ilikuwa ni comeback ya kinyama Mbeya Kwanza wakichomoa magoli yote baada ya kutanguliwa 2-0 na Polisi Tanzania.

Magoli ya Polisi yalifungwa na Tariq Seif pamoja na Vitalisy Mayanga wakati Mbeya Kwanza wakisawazisha kupitia kwa Crispin Ngushi na goli la kujifunga la Yahya Mbegu.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:

Camiseta Real Sociedad 1ª Equipación 2018/2019 maillot gardien de but

Comentarios

21 respuestas a «Magoli yote | Mbeya Kwanza 2-2 Polisi Tanzania | NBC Premier League 01/11/2021»

  1. Avatar de SALIM RAMADHANI

    Mtaharibu nyavu sasa

  2. Avatar de MALU PEX

    Yanga ngushi anatufaa sn

  3. Avatar de Salum Hassan

    Hawajapanda ligi kuu bahati mbaya wazur

  4. Avatar de kibasa mohamedi

    Mbeya nyie kazi kichomoa kila siku, mbadilike

  5. Avatar de Janda Boytzz

    ngushi Angeitwa Taifa Star Japo Akae Benchi

  6. Avatar de Justine Mollel

    Tatzo la mbeya kwanza ni first half,,ni mechi kama ya tatu kama sjakosea wanachomoa wao,, na wasipobadilika wakikutana na timu zingine wakikuweka huchomoi,,au wanapumzika mda mrefu baada ya warm up milli inapoa,

  7. Avatar de Nicholaus Adam

    Top scorer wa ligi kuu ni Ngushiiiiiii haina ubishiiii si aitweeee Taifa stars

  8. Avatar de Edibily Chaula.

    Wanapambana sana Mbeya kwanza nawaombea wafike mbali

  9. Avatar de Ferouz Masoud

    Huyo Ngushi ni mchezaji mzuri Sanaaa one day atakuja kuchezea timu kubwa hapa Tz 👊👊👊

  10. Avatar de Abed Gat

    Nahisi metacha hatoisahau hii mechi kateseka sana

  11. Avatar de Chiddy Banda

    Ngushiiiiiiiiii yuko very strong sanaa

  12. Avatar de Felix magulu

    Mbeya kwanza hakika iko kikazi zaidi.

  13. Avatar de Mica mathew

    Hahahaha mateso takatifu hahahaa

  14. Avatar de Anderson Mkonongo

    Ngushi has a huge experience from Karonga United FC in Malawi.

  15. Avatar de Mnomahboy Bright

    Uyu mtoto ngushi uyu

  16. Avatar de fadhili joshua

    What a header from ngushi!💪

  17. Avatar de Nickson Chanuka

    Uyo bwana mdogo ngushii anajua sana

  18. Avatar de Kefa J Malimali

    Hii lingi ningumu atalii safii sana Mbeya Kwanza piga kazi

  19. Avatar de Updated Mek

    Hawa vijana Wamekuja Kupambana Haswa
    MBEYA KWANZA like Apa