Azam FC wametanguliwa mawili…. lakini wakayachomoa yote na kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Dimba la Kaitaba, Bukoba.
Magoli ya Kagera Sugar yamefunga na Yusuph Mhilu dakika ya 12, pamoja na Meshack Abraham Mwamita dakika ya 62 lakini Azam wakafanya mabadiliko yaliyozaa matunda kutoka wa Idd Seleman Nado aliyefunga la kwanza dakika ya 68 na Idris Mbombo aliyefunga la pili dakika ya 87.
Chaqueta De Chándal Real Madrid A241 Maillot foot pas cher chine
Comentarios
19 respuestas a «Magoli | Kagera Sugar 2-2 Azam FC | NBC Premier League 16/12/2022»
Cmera za kipuuzi
Hapa wenye NCHI yao hawaambiwi wananunua😂
Kwa magoli hayo ya azamu ni zahili Mabeki wa kagera wali nunuliwa ushindi wa azamu sasa hv una utata live azamu ananunua mech
hilo goli la pili la azam wngefunga yanga zingekuja Makala kibao za wanaharakati
mbona wamewwasg mishumaa
Viwanja viongezewe taa za uwanjani, mamlaka husika tunaomba hilo swala lishughulikiwe
Ongezeni taa.uwanja unagiza kabisa.ila goli la mhilu liko vizuri sna
Taa za uwanjani zinamwanga hafifu sana
Kiwanja unacheza unafuatwa na kivuli
Ivyo viwanja vyengn musichezee usku mpira wenyewe hauonekan
Mbona giza asee taa gani hizi
Kwa upande wa azam man of the match kwa azam ni nado amefunga na ametoa assist
Ongezen mataa viwanja vya Kagera, kule Namungo na Azam iwe kama Taifa
Hawa wafungaj wa hiz taa wanazingua haw wanafunga taa za disk uwanjan yan giza tu magol yanfungwa kwa sabb ya kuona mavivul tu taa moj uwanja mzim
Jamani ni Giza tupu au Mimi tu ndio naona haya
Kama ingekua yanga tungesema bahasha poor play from kagera sugar
Wamepambana ila wamepania ubingwa kuliko uweZo azam
Kagera mmeuza mechi haiwezekani mfungwe mabao mepesi kiasi kile
Azam never give up azam ramba ramba tamuuuu sana