COME-BACK…!!! Ilikuwa ni comeback ya kinyama Mbeya Kwanza wakichomoa magoli yote baada ya kutanguliwa 2-0 na Polisi Tanzania.
Magoli ya Polisi yalifungwa na Tariq Seif pamoja na Vitalisy Mayanga wakati Mbeya Kwanza wakisawazisha kupitia kwa Crispin Ngushi na goli la kujifunga la Yahya Mbegu.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Camisetas Irlanda 2019-2020 Primera Equipación Maillots Football sur ✓ Livraison 48h ✓ Retour Gratuit ✓ + de 50 000 Produits. Stimulons la pratique du sport ensemble !
Comentarios
3 respuestas a «Mbeya Kwanza 2-2 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 01/11/2021»
Goli la pili, ule mpira wakurusha, beki wa polisi ndio kafanya makosa sana,… Eneo hilo sio lakuruhusu foward ageuke na apige mpira anyway….. 😀😀😀😀
Ngushiiiii ni 🔥🔥🔥
Mwankemwa