Goli la kichwa kutoka kwa Onesmo Mayaya na lile la ‘free-kick’ kutoka kwa Ismail Mhesa yameipa ushindi wa 2-1 Mtibwa Sugar dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Manungu, Morogoro.
Polisi Tanzania ndiyo waliotangulia kupitia kwa Ambrose Awio dakikaya 35.
Camiseta Holanda Stadium Segunda Equipación 2020-2021 Niño Jusqu’à -70%
Comentarios
7 respuestas a «Magoli | Mtibwa Sugar 2-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 21/11/2022»
Sana home boys Ila wewe muhesa wewe nakufahamu hizi faulo hizi ulizipiga Sana pale sabasaba studium Moro town
Vichezaji vya mtibwa vifupi
Poleni sana polisi tz kwenye dirisha dogo hakikisheni mnafanya maboresho wanakilimanjaro bado tunawahitaji sana
Goli la kichwa zuri sana
Safi sn chama langu mtibwa sugar
Goli la kichwa la mtibwa kama la Enner Valencia wa Ecuador kombe la dunia!!
This league is not only hard also possess good and technical goals