HAT-TRICK: Nahodha wa Simba, John Bocco amepiga #hattrick na kuipa timu yake ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Bocco amefunga hattrick yake dakika ya 04′, 18′ na 69′ huku goli lingine likifungwa na beki Shomary Kapombe.
Camiseta Tottenham Hotspur 2ª Equipación 2020-2021 Niño Commandez vos maillots de foot pas cher avec Unisport. Nous avons des maillots en solde pour homme, femme et enfant. Personnalisation possible et livraison
Comentarios
20 respuestas a «Magoli | Ruvu Shooting 0-4 Simba | NBC Premier League 19/11/2022»
Simba tamu
Hii ndio timu bora Tanzania 😎
Mh.Ndugai kawapaisha Leo Simba..Simba tuko Mawinguniiii
The first goal looks like Boko was in offside position, VAR 😀
Naona maigizo tu hapa hii mechi ya bahasha
Nipen no, chama nampenda sana. Mkimuona mmwambie kwambA anapendwa
Mechi rahic hv,,,
chama apewe ulinzi
MAGOLI MARAHISI NMNOOOO MABEKI WANASINDIKIZA TUU WASHAMBULIAJI
BEKI ANAVOMSINDIKIZA SHOMARI KUNA MLUNGULA HAPO SIO BURE
Kuna tatizo la marefa wetu kwenye issue za offside
Ndo zetuuuu
Hii ndio simba Giant wa Tz
Bocco apewe ulinzi
https://youtu.be/EMFFNGPEZWM
Naona kapombe kamlipa kibwana
Ruvu shooting ni tawi la Simba, Bahasha imetembea
Leo jpili nimeamka saa 4
Bocco apewe ulinzi
KIBU ss na ww utulie ss ona BOCCO kaka muda mref lakin kaingia katupia goals 3