Magoli | Mtibwa Sugar 2-0 Geita Gold | NBC Premier League 13/03/2022



Mtibwa Sugar wakiwa kwenye dimba lao la nyumbani, Manungu Complex, mkoani Morogoro imeitandika Geita Gold 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierleague.

Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Nzigamasabo Styve dakika 27 na Mululi Mayanja dakika ya 76.

Camiseta Inglaterra 1ª Equipación Retro 1998 Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off.

Comentarios

6 respuestas a «Magoli | Mtibwa Sugar 2-0 Geita Gold | NBC Premier League 13/03/2022»

  1. Avatar de GERALD BENJAMIN

    Mpira Bhana, Geita walimkazia Yanga mpaka kijasho kikamtoka, wanakuja kufa manaungu kwa mtibwa ambaye alichapwa na yanga hapo hapo manungu, Hapo ndo utamu wa futibal unapokuwa, its unpredictable

  2. Avatar de ALLY OMARY

    Na nyie mlituuzia ngao ya jamii

  3. Avatar de Mohamed Jeizan

    Mtibwa safi sana . Hao waliuza mechi Yao Kwa utopolo