Timu ya Namungo FC imepata kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi.
Magoli ya Dodoma Jiji yamefungwa na Anuary Jabir na Emmanuel Martin wakati goli la Namungo likipachikwa na Bigirimana Blaise.
Camiseta Earned Edition Swingman de Los Angeles Lakers de LeBron James Retrouvez tout l’équipement de la footballeuse sur Decathlon : Maillot de foot féminin – Tenues de foot femme stylées – Maillot de foot femme pas cher.
Comentarios
15 respuestas a «Magoli | Namungo 1-2 Dodoma Jiji | NBC Premier League 22/12/2021»
Kuvua kiatu ni yellow card
Ligi ngum saiv
Makuma yamechana mkeka wangu
Naiona kama namungo inashuka daraja iv
Safi sana dodoma jj
Goal la Kwanzaa la Dodoma jiji ilikuwaa Mpira wa kutenga / wa kurushaa!? 😋🤔🤔
Leo ni siku ya wenyeji kufa nyumbani Kagera, Namungo
Big up Dom chama langu
Hawa ndio waliokuwa wanagalagala siku wamefungwa na Simba! Leo wameridhika
Ushangiliaji ungine naona kama waimba taarabu
Hivi ukivua viatu kwa kushangilia kuna kard??
well done homeboys 👏👏
Hongera sana timu yangu Dodoma jiji
Dodoma jiji xafi xana
Big up Dodoma jj