YANGA VS JKT U20: Timu vijana ya Yanga u20 imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya vijana #U20PremierLeague hatua ya nane bora inayoendelea kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazj.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Camiseta de la 2ª Equipación del GETAFE CF 2019-20 Maillot de foot pas cher. Filtrer & trier. Aucun produit trouvé ! Veuillez changer vos critères de recherche et réessayer.
Comentarios
19 respuestas a «Highlights | Yanga SC 2-0 JKT Tanzania | U20 Premier League 12/06/2021»
Hakuna skauting nzuri ya timu za taifa za vijana kwa vipaji hivi tunavyoviona sio vya kawaida kabisa upo uzembe sehemu unafanyika ktk kusaka wachezaji wa timu za taifa
Nchi hii Bora ligi iwe hii
Ligi nzuri mashabiki hawatulii
Tunaona vipaji kwelikweli ligi ya wakubwa wamejaa akina nyoso,Mara mkude ujinga mtupu.hapa vijana wanacheza mpira tunaridhika.
Ligi Bora Sana hii zaidi ya ligi ya wakubwa
Kipa alikuwa mzima Zaid upande wa Yanga
Nan kaona lefa amedondoka
Bado falsafa ya Yanga inaoneka ni ya mipira mirefu, si wakubwa wala wadogo uchezaji unafanana sana!
Hogera sna yanga
Dah huyu mlinda mlango wa yanga anafaa kuchezea timu kubwa kabisaa yaan yuko vizr
Huyu ni kipa au ni jini
Mashoto big up
Yanga wadogo wazurii
Namuona kaseja mpya
Golie yupo vzur aisee
Kipoa wa yanga yuko vzuri sana
Huyu Golie na mzuri sana,kwa nini yanga wasimtumie kwenye kikosa cha wakubwa. Wanafungwa magoli ya kijingi sana wale waliopo. Huyu dogo ananikumbusha enzi za kaseji amekamilika kila idara. Kama Yanga hawampandishi team ya wakubwa aende akacheze team zingine atafika mbali sana
jofrey magaigwa uko vizur baba🙌🏽
Mafund sana