Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Magoli ya Simba yametoka kwa Pape Sakho na Peter Banda.
Camiseta River Plate Segunda Equipación 2020-2021Niño Maillot de foot pas cher 2020 2021,maillot de foot 2021 pas cher,flocage maillot de foot pas cher,Livraison rapide,qualité parfaite
Comentarios
12 respuestas a «Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League -23/06/2022»
hapo xawa kabisa
Simba hawana mabeki.
Beno n kipa Bora sana
Mpira wa kitabuni upo simba na wachezaji bora na talented wapo simba huko kwingne uganga wa kienyeji tuu
Kwakweli sakho ni zaidi ya burudani
Ben kakoranya ni?????
mamake ndo saiv
Man of the match beno kakolanya ??
shida sijui nini mpaka sasa imechelewa hii mechi
Hv kwa nn high light za nyingi hucheleweshwa
na mmechelewa kuweka mechi yetu
Wa kwanza leo