Timu ya Mtibwa Sugar imeichapa Ruvu Shooting mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Manungu Compex mkoani Morogoro.
Magoli ya Mtibwa yametoka kwa Brian Mayanja Mululi aliyefunga mawili huku la kwanza likiwa ni la kujifunga kupitia kwa Ally Kombo wakati goli la kufutia machozi kwa Ruvu likitiwa nyavuni na Abalkassim Hamis Suleiman dakika ya 86.
Camiseta Retro Atlético De Madrid 04/05 Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires.
Comentarios
7 respuestas a «Magoli | Mtibwa Sugar 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 13/06/2022»
piga waooo
duuuh mtibwa wamejikomboa kwenye nasaf mbaya
Iv kuna mtu aliye muona dogo muokota mipira akishangilia au mm tu ndo nmemuona
Ohooo?????masau bwire Hana kazi
???
LP reacted d ryt way, she is Kayantanii.UNO need of over drama, or over consider ations. She don't deserve *considerationsm. Lp പറഞ്ഞ പോലെ,, ജീവിതം തുടങ്ങിയല്ലേ ഉള്ളു, പഠിക്കട്ടെ.
Bendiciones hermosa Celina que Dios te cuideo donde quiera que Virginee.Uno encantan tus videos.