Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022



KARIAKOO DERBY: Kwa mara ya pili msimu huukwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara, derby ya Kariakoo, Yanga na Simba inamalizika bila goli lolote kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Licha ya kutokuwepo mabao…. ilikuwa ni mechi dume …. Tazama highlights uone baadhi ya matukio muhimu yaliyojiri kwenye mchezo huo.

Comprar Camisetas de Futbol Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓

Comentarios

48 respuestas a «Yanga SC 0-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 30/04/2022»

  1. Avatar de rwegoshora michael

    Simba ni noma sana washable uwanjani ni kama robo tatu uwanjani

  2. Avatar de Aziza Mihungo

    Cha ajabu Simba ndo waliojaza uwanja kushinda mwenyeji

  3. Avatar de GoToTheAntYouSluggard

    I'm from South Africa and I enjoy watching these two Tanzanian FCs

    It seems like I'm leaning more the green n yellow one , maybe because I support mamelodi Sundowns with similar colours ??????

  4. Avatar de Edy Icoyigombeye

    Ntibazonkiza ??????

  5. Avatar de Sarha Francis

    hv hawa wachezaj wa simba kwa nn wanakua wanaleta hasira uwanjan?? yan kun mda djuma anapiga mpira morison anakimbia kwenda kweny miguu yake kwa nguvu na djuma akamkandamiza na miguvu lakn hakubweka sialiona huyo sio wa kutania??????

  6. Avatar de Exaud Majaliwa

    JE,WAJUA MECHI KATI YA YANGA NA SIMBA YA TAREHE 30/04/2022 TIMU ZOTE ZILIINGIA UWANJANI NA WACHEZAJI PUNGUFU? HATA PICHA ZA UWANJANI KILA TIMU ILIPIGA NA WACHEZAJI 10,(RUDIA HIGHLIGHTS)….YANGA WALIINGIA 10 BILA YA NTABAZONKIZA NA SIMBA WALIINGIA 10 BILA YA INONGA,JE,REFA ALIJUA HILO? SHERIA 17 ZINASEMAJE?

  7. Avatar de Gaveth Hans

    Mashabiki wa yanga sisi maboya sana tumeshindwa kujaza uwanja

  8. Avatar de Sixteen Yussuf Champiøn

    Walai sijaona watu wanaopendana na wenye ukarimu kama WATANZANIA❤️???. Much love from Kenya

  9. Avatar de fahdi hasnuu

    Ifahamike tu huyu mtangazaji ni zaidi ya mpenja

  10. Avatar de Fahadfahmi

    Mashaallah nimependa Marefa wanakunywa maji huku wamekaa,na hiyo ndio sunna ya Mtume

  11. Avatar de Norbert Lilungulu

    Denis Nkane dogo ulitakiwa uinue kichwa ungemuona mayele yuko peke yke anakuomba! Utoto mwingiii

  12. Avatar de Daud Khatib

    Manolo hamnagaa

  13. Avatar de John Bupimali

    Mwizi Nje, Fundi wao nje, msokota ugoro Nje, hapa nicheke kwanza?????????✅✅✅✅

  14. Avatar de John Bupimali

    Kuna watu wanateseka kweli! ?✅✅✅✅

  15. Avatar de John Bupimali

    Makolo et wakapewa 50:50 Kipindi Cha kwacha make hapa nicheke kwanza??????? kwa Mpira gani waliocheza

  16. Avatar de Raymond Livigha

    Yanga kaanza na suluhu kwa simba halafu kabakisha michezo 9, ugenini atapona? na timu za ugenini zinavyotaka sifa , posho, rushwa na majina.

  17. Avatar de Raymond Livigha

    Kwa hizi mechi zilizobaki Yanga akipigwa mechi 3, halafu Simba akishinda zote Simba Bingwa.

  18. Avatar de Omary Omary

    hahahaha hapo nimeamini Amna kuonga wachezaji huwo ndo mpila wa yanga walioucheza Leo

  19. Avatar de Ally Kaisi

    simba ndoo kilakitu ???

  20. Avatar de Zunnah Mohammed

    Yani. Hapo kutoka Morrison na kanute na chama. Mngekoma basi mmemroga kocha wetu awayowe kiboko yenu

  21. Avatar de MOJO music

    8:09 uyu mtangazaji ni Yanga bila shaka

  22. Avatar de Salum Hiyari

    kibwana shomari=Morison +sakho+kibu Denis

  23. Avatar de mohamed turan Ardan

    Morrison utaolewa na Yanga ukileta hashuo. Hapo upo kwa wananchi

  24. Avatar de jack spar

    Uto poro woote

  25. Avatar de RAMADHAN MIGETO

    Highlight nzuri inatakiwa imezidi Sana dakika 9. Unaweza ukawa unairudia rudia hata sio hzo dakika 19 Tena zingine zina 27. Mnakera

  26. Avatar de RAMADHAN MIGETO

    Azam Tafteni wataalam wa hko kwenye media, yaan highlight gan iwe na dakika 19? Alaf matukio ya kijinga jinga tu mnatuonesha. Yaan tureview zile dakika mbili za heshima, Kuna matukio muhimu na mazuri baadhi yao hayaonekani. Kutumalizia MB tu. Bora hata mungewapa ? times huenda wangeleta mitambo mingi na huenda wakawa wanatucholea na mistari ya offside.

  27. Avatar de Mbuxhie Kimoda

    Ufalume kwenye mech hii ni wa Henock Inongo, Vallane kwa mambo anayofany bhna hatar xna, bakar nondo akasome !!!!

  28. Avatar de Eliakim Emily

    Wachezaji wanaotakiwa kuondoka simba. Ni chama , bwalia, wawa, kagere , mugaru , boko

  29. Avatar de Shushu Baby

    Simba huwa hkamii kumfunga yanga anachoangalia ni kucheza mpira ili aende kujitangaza kimataifa zaidi kuroga mmeloga na sare tumetoka uchawi bila kiwango ni bure ????

  30. Avatar de Salma Khalifa

    Kuna watu wamecomment hapa siyo watu wa mpira ni mashabiki wa mpira

  31. Avatar de Salma Khalifa

    Yanga wanajua wametengeneza nafasi nyingi sana ila bahati ya nafasi kuwa magoli haikuwepo