Yanga 4-1 Prisons | Magoli | NBC Premier League – 28/05/204



Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons.

Yanga imeshinda magoli 4-1.

Stephane Aziz Ki amefunga hat trick na lingine limefungwa na Kennedy Musonda.

Goli la Prisons limefungwa na Beno Ngasa

Camiseta Real Sociedad 1ª Equipación 2020/21 Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓

Comentarios

26 respuestas a «Yanga 4-1 Prisons | Magoli | NBC Premier League – 28/05/204»

  1. Avatar de @ramadhanimchinjita7042

    Hauwezi kuomba dua iwe km singeli au miso Misondo hiyo NI laana

  2. Avatar de @DannyJoseph-lz2yy

    Prison Ni wake😂 Na anatamba nao😂😂😂

  3. Avatar de @ashuramapunda9232

    Yanga ana roho mbaya

  4. Avatar de @user-zt9hh2fe7y

    Huy mwamba anabalaa bonge la goli free kick

  5. Avatar de @hedarufines7763

    "Prison ni #WAKE 💃💃 NA anatamba nao"😂😂😂

  6. Avatar de @LucyMapunda-ux9gc

    yani nina zaidi ya furah hapa

  7. Avatar de @michaelcharles4693

    Kumanina prison kazi kuikamia Simba tu

  8. Avatar de @MwimbeNgolo

    Hiyo D mbili Ndio Nini 😂

  9. Avatar de @user-gv6tn2sr4f

    Who's this guy scored 3 goals? I hate u 😂😂😂

  10. Avatar de @muharas0059

    ila harmonize 😮

  11. Avatar de @extraonetzs8381

    Jipatie habari za hivi punde katika ulimwengu wa michezo kwa kutembelea blogu yetu
    http://sportrocki.blogspot.com

  12. Avatar de @tinahwilliam1918

    Asante MUNGU,, wenye D mbili tumeelewa

  13. Avatar de @HappyEel-wg4qx

    Huyu refa katokea wapi

  14. Avatar de @ngorshermelody2021

    Msheri nayeye kawa wa ovyo san hata haruki duh

  15. Avatar de @ancyblix

    Yaaan hii Yanga ukimtoa Diarra uwanjani hao wengine hamna makipa hovyo kabisa na asilimia kubwa ya magoal yetu msimu yamefungwa Mwamnyeto akiwa uwanjani ni mzembe sana kwenye kufanya maamuzi na clearance inabidi Engineer atafute beki wa kati wa kufanya rotation kwa Job na Bacca.Gift na Mwamnyeto hamna kazi

  16. Avatar de @vi3ayo1622

    Kweli mwanamke akikupenda anakuzaa tena, kama huna d mbili huwezi elewa😂😂

  17. Avatar de @vi3ayo1622

    Kweli mwanamke akikupenda anakuzaa tenaa

  18. Avatar de @alicenice1711

    Wanao umiya ni feisal fc 😂😂

  19. Avatar de @AlawiMsasu-ly3cx

    Mwamnyeto anakitu wananchi tukae kwakutulia😂😂😂😂😂😂😂

  20. Avatar de @rahimmsonga7963

    Gor kipa ajishughulish at kuruk 😂😂😂😂pesa

  21. Avatar de @ghalibyussuf1472

    Kweli hatuoni lkn kw magoli yaliyofungwa hii timu LAZIMA ichunguzwe, Kuna sintofahamu apo. Figisu nyingi zinaondoa ladha ya mpira wetu.

  22. Avatar de @AminaNduva

    Makolo mna nn Cha kuwaonesha watu wenu msimu huu au tabulele laaaaaaa

  23. Avatar de @safarivahocha8077

    Harmonize apewe mauwa yake, yeye ndo alimuambia Aziz Ki atafunga magoli matatu leo na atachukua kiatu