Mabingwa watetezi wa #NBCPremierLeague Simba SC wamekula mweleka mbele ya Kagera Sugar wakichapwa bao 1-0 kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Bao pekee la Kagera limetiwa nyavuni na mkongwe, Hamis Kizza dakika ya 71.
Camiseta Manchester City 2019/2020 Celebración Pre Partido Multicolor Magasin en ligne spécialiste du football et des produits officiels des clubs de foot. Acheter des maillots, accessoires, chaussures et vetements de football
Comentarios
38 respuestas a «Kagera Sugar 1-0 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 26/01/2022»
Hahahh
Da huruma
yanga na polisi hamjatuma nini tatizo
Manula kutokatoka kunatugharimu sana
Hassan Mwatelema..
Ni mchezaji mzur..
Alicheza vzur..
Kila nafas aliyoipata alinitumia vzur..
Naomba Ahmed Ali atengeneze kipindi cha mshikemshike katika hizi mechi tatu za simba zilizopita
Simba wakifka ndani ya 18 wanaona bango la gsm tu
THIS IS SIMBA KARUDI KWENYE UBORA WAKE
Da huruma
Hivi Simba itashinda lini ??????
Mambo mengine ni yakuchekesha sana sasa zimbwe ananyoisha mkono kuomba of said kwahyo amuoni onyango kama yupo mbele
Sikuzote mungu ataki dhambi onyango alicheza faulu lkn mwamuzi aliacha kuwatafutia simba bao lkn mungu akupenda ndio muvu hiyo ilienda kuzaa bao
Kuna mchezaji wa Kagera
Huyu Rasta kiungo yuko vzur sana..
Ongeran kagera Sugar
Mbona polisi tz vs yanga hamjaweka nyie azam
Yanga dhidi ya polisi Tanzania hamjawek Hadi leo
Gol la kijinga kabis
Simba mmemilik mpira nanafas umepata nnashindwa kuzitumia kwa upande wangu wachezj hamjitumi mnafanya uzembe kabix kocha hana shida ila simba mnaboa
Kwan sako chama onyango kagere na kanote hakuwemo
Simba poleni sana
Km Kocha anajua anachofanya abadilishe mfumo wa uchezaji maana kila kocha ameshaukariri,kingine amtumie Kakolanya sasa hv Manula apumzike vinginevyo hakuna matokeo kwa staili hii Simba itagombea kupata top 4?
Teams za mpira za Tanzania sasa zimeanza kuonyesha msimamo sasa siyo ku pigwa pigwa ovyo kama watoto tena. Congrats
wanasimba tulieni tujipe muda tukutane mwisho wa msimu tuone nani atanyanyua kwapa
so sad aisee pole sana madam babra
Kweli simba tunapaswa kupanga upya. Kocha hawezi kuchezesha viuongo peke yao dk70 ili hali ameweka washambuliaji wote bench. Kumiliki mchezo ni jambo moja lakini kupata matokeo ni jambo muhimu zaidi.
Piga Makolo haooooooo……. Timu bovu
Hiv Azam mnashindwa kuweka highlights vizur na fupi hata kwa dk5 ???
Uuwi maskiniii????
Kwanini Kagere asianze na yeye ni mtafuta magoli?
Mbona Simba haishindi ? Labda mfumo angalieni hujuma
Kwann mechi ya yanga na polisi hamjaweka au??
Wachezaji wa simba hawajitambui kweli akina Kapombe ndo vitu vya kufanya hivyo ndani ya box aah wanazunguka bana.
Nani amemuona yule mpiga picha anavyoshangilia goli la kiiza 70:37…?????
Simba timu kubwa!
Azam mnaboa ya yanga hamuweki lakini ya simba haraka haraka
Tuwekeeni marudio ya yanga na polisi Tanzania hii yamakolo mtasababisha wazimie tena?????
Marudio ya yanga na porisi mbona amuweki nyinyi Azam tv anha ushamba uo
Uzur wa simba ni kombe tubla mapinduzi zanzibar
Azam mnaupendeleo mbona highlights ya yanga na police tanzania hamjaileta mpaka leo ? Sio poa.