TUZO ZA TFF: Saidi Ntibazonkiza akabeba Tuzo ya Kiungo Bora NBC Premier League. Amshukuru Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’
Ni katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga
Camiseta Scc Napoli Amarilla x azul 2020-2021 Le shop de football offre le tenue de foot au prix discount ✌ Les chaussures, les maillots, les survetements et les ensemble de foot. ➤➤➤Visite nous !
Comentarios
30 respuestas a «Saidi Ntibazonkiza ndiye Kiungo Bora NBC Premier League – Tuzo za TFF»
chama baba 🤣🤣🤣
Nyie, chama ni nyoko aiseee🔥🔥
Wawoooh Antibiotic inayo UA baada ya kutibu umeupiga mwingi Kaka yetu
Kwa swala la michezo tz hamna ubaguzi.
Ntibazonkiza🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💥💥🔥🔥
Chama kama chama sema basi tu alikua yeye sema ipo siku tutawaziba masikio makolo awataamini,😃
Bruono gomesi alistahili apo mmetulisha tango poli
Mwamba huyu hapa
Ally unachonga SAAN na bado tutakukeraaa saaana
Hapo wamezingua Chama alistahili
https://youtu.be/QtvcRuacmtc TAZAMA PENZI LA SHEMEJI LAMNOGEA DADA
Apo kwa beki bola mmeboronga mikundu nyie
Tuzo zakisenge wasenge wanapeana tu Hamna lolote
Saidooooooooooooo
Hongera sana wanadamu kazi Yao nikuharibu vizuri nakujenga vibovu ila kwakua MUNGU ndie kiboko baaasi huwaaibisha hadharani,hongera sana SAID❤
Skidoo umepewa tu hiyo wqla haikuwa yako bromo gemes alistahili
hawa jamaa wanatamani simba hata wachezaji wasipate chochote ili wapate la kusema sasa wamelowa asee kuanzia msimu ujao mtaishi mpaka miaka kumi hata ile harufu ya kombe hamtoisikia gongo wazi nyie
Said noma xanaaaa
Hii ni tuzo ya Kiungo Punda au Chama ila MVP ndio alikuwa awe Saido numbers don't lie but the people they are lier
Kombe tukose Simba na tuzo nazo jamani hongera Sana saido
Hongera saaana saido, chama,denisi, na woote wa Simba mliopata tuzo
Alistahili mzamiru yasini
Alitakiwa chama ndio anaeongoza kwa udambwi
Hongera ntibazonkiza
Big congrats bwana Saido. You never disappointed me since 2005
Kesho gwaride la simba kupokea kiatu cha mfungaji bora na kiungo bora kesho
Kikombe Cha Simba vp wameshaa chukua?
😭😭😭
Nakukubali mzee
HONGERA SANA SAIDO. WEWE NI KILA WAKATI. ENDELEA KUIPAMBANIA TIMU YAKO YA SIMBA.
Wow anastahili