NYAVUNI 27/10/2021 | Mabao 10 bora ya NBC Premier League



Tazama mabao 10 bora na yenye kuvutia zaidi tangu kuanza kwa NBC Premier League msimu wa 2021/2022

Medie Kagere, Feisal Salum ‘Fei Toto’ Boban Zirintusa, Vitalis Mayanga, Charles Ilanfya, Jeremia Juma, Willium Edger, Cleophas Mkandala, Emmanuel Martin, Crispin Ngushi ndio wachezaji waliong’ara kwenye mabao bora.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:

Camiseta Stadium de la equipación local del Chelsea 2018-19 de manga larga Acheter des centaines de maillots d’équipe à prix d’usine, la livraison est gratuite à partir de 2 articles achetés. Psg, Real Madrid, Barcelone

Comentarios

17 respuestas a «NYAVUNI 27/10/2021 | Mabao 10 bora ya NBC Premier League»

  1. Avatar de Rajabu Hanje

    💛💛💚💚💚💚

  2. Avatar de Ben Breaker

    https://youtu.be/upAikYZWUMM
    Diamond Platnumz vs Harmonize 🔥🔥🐉

  3. Avatar de Suleiman Suleiman juma

    Ushabiki pemben mbeya kwanza goli number 1 hatarii hatariii 🔥🔥🔥🔥

  4. Avatar de Ismail Yusuph

    Goli namba 10 namba 7 hayakustahili kuwa bora ni ya kawaida..!

  5. Avatar de Martin starford

    Mbona habarii zenu haziko live

  6. Avatar de Pancho Valentino

    Ngushiiiii ni hatareeeeee saaaanA 👏👏👏🙌🙌🙌💪💪💪🔥🔥🔥💯💯💯⚽⚽⚽⚽

  7. Avatar de Anthony Mwashoma

    Na assists zizingatiwe ni kitu muhimu Sana kwa career ya wachezaji

  8. Avatar de Amini Kingazi

    Izo saves za Azam si za kitoto

  9. Avatar de Aluta Thomas

    Bao bora n la derby ya mbeyaaaaaaaaa

  10. Avatar de yunus makame

    La kagere uongo haliwez kua bora

  11. Avatar de Ferouz Masoud

    Yule wa mbeya kwanza ndyo gor Bora 👊👊👊👊