Biashara United wameikomalia Mbeya Kwanza na kugawana pointi baada ya sare ya bao 1-1 iliyopatikana katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Jijini Mbeya.
Magoli yote yaliyofungwa leo ni ya kideoni, akianza Ramadhan Chombo ‘Redondo’ kuitanguliza Biashara dakika ya 13 kisha Hamis Kanduru akachomoa kwa goli kali dakika ya 81.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Camiseta de la 1ª equipación Liverpool 18/19 Achat en ligne ➤ Football maillots pas cher sur Aliexpress France ! ✅ Livraison rapide ✚ Produits de qualité à petits prix ✓
Comentarios
5 respuestas a «Highlights | Mbeya Kwanza 1-1 Biashara United | NBC Premier League 29/10/2021»
🔥🔥🔥🔥
Efm Jogging na Wasafi jogging club wathibitisha kushiriki Iringa jogging big October event .
Itakayofanyika tarehe 31/10/2021 kujua mengi zaidi fuata link apo chini kwa kugusa tu.
👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾 👇🏾👇🏾👇🏾
https://youtu.be/UB4Dv-GDxbY
Goal of the week
Ramadhan chombo Redondo niliiona kzi yako sumbawanga
sauti yamtangazaji wenu inatuumiza maskio