Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.
Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66.
Tazama highlightys…
Camiseta España Portero en negro 2020 Edición Copa De Europa Chaussures, Maillots, Shorts, Survêtements, Ballons, Accessoires.
Comentarios
20 respuestas a «Yanga 3-0 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 20/12/2022»
Yanga.tamuuu
Kwa mtu mwenye akili timamu hata beza shughuli anayo ifanya Aziz ki
Mayele msaniii
💚💚💚💚👍👍
1:30 Hii ni penalty. VAR ije bongo tu. 5:03 mtu wa mwisho unatoa njano???
Jezi ziliwaponza
Mayeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee big up brother your so dangerous
This is young africans of Nasredine nabi the technique coach we proud of you
Thalatha bin sufury😂😂💚💛💚💛💚💛
@mayele
Jamani yanga tusiwadharau kamwe wachezaji wetu
Yanga kama wanafanya mazoez chek mechi za simba ni kama fainal inaumiza sana mpira wetu umehariniwa sana na viongoz wapo kmya
Mechi za YANGA kwanini hamuonyeshi asilimia za umiliki wa mpila
saf
Pitia frm 254💥💥
💚💛💚💛💚💛💚💚💛💚💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💚💚💛💚💛💚💛💚💛💛💚
Yanga munanipa laha sana
timu zingine hazifai hata kuwa ligi daraja la tatu
Nakwambia mayele anaendeleza alipoishia mwaka Jana.
Aziz ki ni player lkn kwa chama atasubiri sanaaaa