Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022



Tanzania Prisons imeendelea kufanya vibaya kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine, Jijini Mbeya baada ya leo kupigwa 2-1 na Singida Big Stars, mchezo wa #NBCPremierLeague

Magoli ya Singida yametoka kwa Bruno Gomes dakika ya 5 na Medie Kagere dakika ya 57 huku Tanzania Prisons wakipata bao lao pekee kwa penati dakika ya 79 kupitia kwa Jumanne Elifadhili.

Camiseta de Espana Mujer 2019 2020 Grossistes maillot de foot pas cher chine de la Chine maillot de foot pas cher chine Grossistes,Ventes en gros et bien plus

Comentarios

4 respuestas a «Magoli | Tanzania Prisons 1-2 Singida Big Stars | NBC Premier League 17/12/2022»

  1. Avatar de Sulleh Tz

    SINGIDA BIG STAR✊

  2. Avatar de Haji Ally

    Marefa marefa haya magoli ya singida mh

  3. Avatar de Alexs Elias

    Mk14 rudi Simba🙄