Ilikuwa ni mechi ya tamu, mechi ya magoli matano… Idd Seleman Nado akifunga goli dakika ya 90+9 na kuipa ushindi Azam FC dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Coastal walitangulia kwa goli la Maabad Maulid dakika ya 13 kabla ya James Akaminko kuisawazishia Azam dakika ya 56 lakini Hamadi Majimengi alifunga bonge la goli dakika ya 85 na kufanya mambo yawe 2-2.
Baada ya hapo, Idd Seleman akapeleka msiba Tanga….
Tazama mambo yalivyokuwa…
Camiseta de la 3ª equipación del Real Madrid 2018-19 para mujer accessoires pour homme, femme et enfants à petits prix par des grandes marques tel que adidas, UGG, Converse et plus. Ne ratez pas, Shop aujourd’hui !
Comentarios
50 respuestas a «Magoli | Azam FC 3-2 Coastal Union | NBC Premier League 27/11/2022»
Nyie vijana kwani uwanja auteli mnashindwa kushanglia kwakuteleza
Lazima apigwe refa tunawashukuru coast hii ndo dawa ya marefa
Ingekuwa ni Yanga wangesema imenunua mech Bongo bhna kwa maneno ya Kuambiwa tupo juu lkn pia Refa aliongeza dkk zinazo ongezwa kombe la dunia
Kuna haja ya kuwa na makombe mawili ktk ligi yetu ili moja wawape yanga na lile lingine wawape azam. Extra time 4 na extra za extra time ni ….? Hadi 99 zingine ndo wanapata la ushindi
Siku hizi hawamuoneshi mayele akitetema …..wanawaonesha mashabiki …..nmeona zaidi ya mara 3 Sasa ……..
Jambo jingine mna uwezo mkubwa sana wa kujenga timu bora.lkn leo imefikia hatua mnanunua mpaka marefa ili mupate ushindi wa kulazimisha kumbukeni mtakuja mkwakwani kitu tutawafanyia hamtakisahau na nyie azam tv mkileta mambo yenu ya kipumbavu kwenye matukio muhimu hamuyarudii iko siku hizo gari zenu tutakuja kuzichoma moto.kitendo mlichokifanya jana kimewaudhi wanamichezo wengi mnaiga mfumo usio wenu
Kwanza niwafundishe ustaarabu azam tv.hamtendi haki mnapokuwa mnainyesha mpira mkifungwa nyie mashabiki wa timu pinzani hamuwaonyeshi ila mkifunga nyie wale mashabiki wenu hewa mnaowaingiza bure na kuwavalisha jezi zenu mnawaonyesha huo ni ubaguzi na kutokujiamini.
Refa ndiyo mwenye maamuzi na tuangalie uzembe wa wachezaji ndani ya uwanja
Hamad Majimengi karbu kwa Wananchi 🍏🍏🍏🍏🍏🍏🍏, Timu yangu Yanga SC mleteni huyu kijana jangwani
Marefa wanatakiwa waige mfano kwamalefa wannje hakikisha muda ulio ongezwa usivuke kiwango kama ingekua nihiz Tim kubwa mbili sijui ingekuaje?
Ni goli la kupewa hilo yaan dakika ya 101 mmmh 😎
Azam hamna kipa hapo cheki golii la kwanza
Watu haxiwaumi dakika zinawauma goal la nado hhhhhh nani anateseka huko
Liggi ya bongo hovyo sana dakika ya 99 nasekunde mtu anachezeshatuu sibora dakika ya90 angewabadilishia magoli ijulikane wanacheza 120
nkweli wamebebwa kama cmba ilikua inaongezwa paka dk8 na zaid yan paka wasawazshe asaiv hela za kuhonga hazpo boc aonekan kubebwa paka uruma ya lefa au awe shabk wa wala ngada kama alivoonewa mbeya city babu boko alikua kama imam
Ukiskia goli ndoige ndoili la majimengi
kwan mnaolalamika kuhuxu refa aliwaambia wacheze azam tu hzo dakika af coxt akaxhkiliwa miguu?
noma
Goli LA kwanza alaumiwe kipa
Tatizo ili chombo usika itaishia kumfungia tu mwamuz , vp kuhusu timu husika iliyogalimika kutokana na makosa ya mtu mmoja yaan mwamuzi, timu inatumia gharama kubwa sn usajili, maandalizi mpk kwenye mashindano husika nafikili ipo aja ya chama usika kuliangalia kwa uzito swala km ili , na kuchukua hatua staik sio tu mwamuzi, inauzima sana,bila kufanya ivyo soccer letu linaweza kuchukiwa na watu na ata ligi yetu inaweza kukosa mvuto,mpira xx ni pesa ,mpira xx ni biashara#HANAEKUFA MWACHE AFE #
Dis iz tanzanian football, waamuzi wanatualibia mpira wt wanakuja na maagizo #shame its not fear ata kidogo,achen ball itembee anakufa mwache afe sio kubebana kwa mbeleko ya chuma,non sense
Waliofungwa ni coastal lakini Makolo wanalalamika kulikoni?
Magoli mazuri,bonge la mechi, dk 101
Bos ameamua kuweka pesa na Kwa waamuzi Sasa😂😂😂🤣
99 daàah
Kweli hii NBC malefa wa tigopesa wanaalibu mpira
Mpk dakika 100 ligi kuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna lolote ni kubebwa tu🤕
kumbe hawa makip wametokea nchii moja
kolodan bhn
Ivi mmemwona idi nado baada ya kutoa crosi😂
Basi NGADA FC wanaumiaaaaa
naona dakika za World Cup zimehamia huku
Hatakama nikupewa hela mmm huyu refa kazidi 101
Mme bebwaa sio kweliii kabisaa refaaa kachezesha dakikaamia na mojaaa hiii sio sawa kabisaa tuta wachoma moto siku mojaa hapata kalikaa wwnjan
Izo dakika zimeongezwa kwa timu zote mbili, jiulize kama wangeshinda cost nyie wanywa WANZUKI fc si mngefurahia!?
Nyie NGADA fc pambaneni na hali zenu , kufungwa wafungwe cost kulalamika mlalamike nyie
Maana ya dakika 4 nyongeza maana yakeeee nn sasa
Waaamuz wanaujum tim
Duh! Dakika ya 99 na 44 what a shame?
Kwa sheria ya xx hata kama daika imeongeza moja kama mtakuwa mnachelesha mpila refa ataongeza tu zile daika
Wanaoalalamika ni washabiki wa simbaaaa waanaona nafasi ya pili yachukuliwaaa
Mtuache tupo Qatar 🌚🌚🌚
Je dk zinazolalamikiwa angefungwa Azam ? Maana wote walikuwa wanacheza
Azamu gemu kanunua
Mmh! kumbe na hawa nao wameanza kununua..!!🤭
Asante chama langu azam kikubwa pointi tatu muhimu kila mtu ashinde mechi zake waache wakalilli watasema tu…..!!!
Sina maana nawachukia nawakumbusha tu kama mtoto shuleni anaazibiwa wewe akirudi nyumbani unaltered unafikiri unajenga au unabomowa??
Kwa mpira huu Tanzania hapana hatutakuja kupiga hatuwa yyte zimeongezwa dakika nne na goli limefungwa dakika ya 99 bado mnajiita mnateam upuuzi kama huu mtaendelea kucheza ligi yenu ya mchongo msilamishe ubingwa kwa style hii alafu mnajiita mnacheza mpira azam hakuna mpira zaid saivi mumeanz mpira wa mezani basi
Hee huu Mpira umeongezwa dakik 4 mbona 99 za nn Tena🤣🤣🤣🤣
Ataye lalamika huyo nishabiki wasimba