Ilikuwa ni mechi ya tamu, mechi ya magoli matano… Idd Seleman Nado akifunga goli dakika ya 90+9 na kuipa ushindi Azam FC dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Coastal walitangulia kwa goli la Maabad Maulid dakika ya 13 kabla ya James Akaminko kuisawazishia Azam dakika ya 56 lakini Hamadi Majimengi alifunga bonge la goli dakika ya 85 na kufanya mambo yawe 2-2.
Baada ya hapo, Idd Seleman akapeleka msiba Tanga….
Tazama mambo yalivyokuwa…
Camiseta Manchester United 2ª Equipación 2019/2020 Comparez et achetez des Maillots de football enfant pas cher avec. Retrouvez les dernières tendances mode pour filles, garçons et bébés.
Comentarios
36 respuestas a «Azam 3-2 Coastal Union | Highlights | NBC Premier League 27/11/2022»
Eerr
DUUH DAKIKA 101 😂😂😂😂😂 ILIBD WATOKE DROO HII SIO SAWA
Jamaa wanachelewesha mda…af mtu anasema refa refa mlitakaje nyie makolo
Tuseme ukweli tu kipa la azam ni kifurushi mishuti ya mbali halidaki
Timu ya azam inabebwa sana.kwani wenywe hawaon
Mtangazaji naye wa hovyooo analaum t coastal kutup chupa na kumzonga mwamuzi mbon hasem kam refa naye kazingua dkk 4 mpk dkk 12 ni sahih?
Sasa hivi hawa marefa ni kichapotu maana tumesha choka na bahasha
Do makolo wajipange
Hawa coastal wamejariabia wenywe alaf jamaa hataki kutoka anabisha so unprofessional..mpira wa mchangani
Kipa wenu dakika nne za mwanzo ziloengezwa kalala sasa mulitaka aumalize mpira wakati dakika hazikuchezwa nyie vip ss ndio tushashinda na tutaendelea kushinda tukutane kituo kinachofata
Tigo pesa
Watu wengi wanalalamika kuhusu muda, hivi mnaanzaje kumlaumu refa wakati anasimamsha muda kwa kila tukio linazuia kuendelea kwa kabumbu? Mulitaka hata wachezaj wa Coastal wanapolala tuseme kuwa kabumbu linaendelea????
This is a football we have to be serious
Haya magoli yaleo ya ufundi sana anafungwa kipa yoyote yule hata awe na ubora gan🤔
YANI NAJIULIZA HUYU MMBWA LEFA HII MECHI INGEKUWA TANGA ANGE PIGWA MPAKA KUFA ASEE YANI SOKO LETU MIMBA CHANGA
haya matokeo siio km coastr yanawaumidha so waoo bali simba yani maan jana simba alishinda saa wakajua coastar watashinda ndo wanaumia
Watu wanachelewexha mda Waz wanagoma adi kutoka jitu linalalamika refa alikuw xahih kabisa
Majitu yanacholalamika ata akionekani n ushabiki tu kuhofia nafasi yapili Mana hakuna gol la offside na hakuna makosa mengi lkn swala la muda kila tmu c jukum lake kuutumia ipasavyo
Nyongeza 4 lakini mm
Mechi za azam mnaweka dakika nying kwanin sio pow
Yn huyu refa ange takiwa apigwe mitama ya kikatili sana hpo uwanjani una mpiga waaah waaah Waah ili wajifunze maana wana tuharibia mpira wetu ndo maana hta hawaendelii manina kabisa
Msimu huu yamefungwa magoli mzur san kuna kaz ya kupata goli bora la msimu
Mmmm lefa noma 😳101
Awa mabwana wanatualibia soka letu ushindani aupo hivi
Naomba kuuliza kwann mechi za simba na yanga zikipostiwa na azam zinakuwa na dakika chache kwann mechi ya azam midakika inakuwa mingi???? Hv
Ndugu mnao lalamika kamlaumu Kwanza kipa🤣🤣
Nimeon kaunafik ka ashimu ibwe kam ka manara kwa yanga
Mnatumia kununua mafefa mna haribu mpira wa Tanzania Azam
Azam mnaufilisi mpira
Nyinyi Azam mnaharibu ligi pesa zenu is iwe sababu pumbavu zenu
Madawa ya kulevya fc mbona hampendi azam wakifunga ,
Mmmh haya ushindi wa azampesa huu
AZAM TV burudani kwa watu Million 6 na ushee
Azam tafuteni wachezaji wa kucheza mpira wa kushindana siyo kinyume chake, mara nyingi Azam wanapata magoli wapinzani wanarudisha mfululizo, ushindi unakuwa kama ngekewa tu. Huyo golikipa silolote si chochote mmeramba garasa, la sivyo kila mwaka mtawaachia Simba na yanga kubeba vikombe nyinyi mmpo hapohapo.
Kuwen na weled wa kaz yenu mnatakiwa kukemea ushenz unayo famywa na marefa sio kufurahia
Vina muda bas
We mtangazi wacha usenge wamuona maabad tu kurusha chupa na hyo refa alowabeba hao maboss zako refa kaongeza 4 mbona huoj mpira kwisha dakika dakika 101