Simba SC imekabwa koo na Mbeya City kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Simba wametangulia kwa goli la Mzamiru Yassin dakika ya 15 na Mbeya City kuchomoa dakika ya 79 kupitia kwa Tariq Seif.
Camiseta Deportivo Alavés 2ª Equipación 20/21 Maillots de foot personnalisé & Flocage maillot de gardien de but avec Logos, Nom et Numéro ☆ Simple : Configurateur en Ligne ☆ Pas cher
Comentarios
49 respuestas a «Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022»
❤️🇹🇿🔥💪
Nic
Mimi Kama Shabiki WA Simba Sijapendezwa na Haya matokeo😂..
TFF iwa fungie mbeya City Kwa ushangilaji wao waki WAKI😂😂😂
Offside iyooooooo
Offside
Naombeni tu mniambie , ivi simba ni timu ya wachezaji au ni kituo Cha kulelea wazee
simba wapuuziii hawajui wanachokifanya mbwaa haooo wapi wanainchi naiinchi yaoooo wamepigwa haooooo nyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo YANGA OYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO UBIGWA WETU TENA MWAKA HUUUUU HAWANA CHOCHOTE CHA KUBEBA WAKWENDE ZAOOOOOO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Simba sio timu kabisa
Simba ni wavivu kl mara wawapo uwanjani wanakimbia wakijiskia,na kocha anachelewa kuusoma mchezo ndiyo maana anachelewa kufanya sabu
Marefa wetu tatizo, clear offside Kabsa, sîmba wamebebwa
Nimefurahi simba alivyo suluhu
Bocco kaingilia mchezo ni offside
Magoli kopi na paste du kweli imbombo ngafu
Ushauri wang kwa @azam nikutoweka matokeo kwenye video mtu anakata tama ya kuona maana ashajua matokeo fanyen km #supersport
Leo atujashangilia kama wachawi
Au Chama hakuwepo leo😆
Offside goli lenyewe😂
safi saaaaana mbeya city
Kama ni offside na ungekuwa unakuja upande wa usoni agewacha upige uso
Leo shetani Alikuwa amesafili 🙈
Kweli malipo ni hapa hapa ….Magoli yanafanana
Shangilia gani hyo ya Mbeya City, mi sjapenda et
Jamani nakuja kuolewa mbeya maana mmeniburudisha kumfanya thumba wa yudaa asipate 3 na alivo na mdomo ngoja nipige kigelegele torororororooooo
Mbeya city my teaaaam bravo bravo
Yanga wanafki jmn🤣
Mbeya dawa yenu ipo njian
Simba bado sana pia kocha simba sub zake hovyo sana
Asante MBEYA CITY mbarikiwe munooo
Naskia wanaungana timu zote Waite 'muungano fc' waishambulie yanga
Kewnza goal la simba ni offside
Mbona jamani hilo bao n la oofside
Simba inazingua mchawi kusajili tu wengine mapungufu ya simba ni wachezaji wanazingua dilisha dogo msipo sajili wakali wengine Bora tuhame tim
TFF tunaomba kombe letu mtuandalie,,Engineer tunaomba utupe ratiba ya kusheherekea ubingwa wetu
kocha tupishe hunambinu za kushinda nje ya Dar kawe mganga wa kienyeji
Makolo haa ngada fc wamebebwa ndo wametoa droo na wasinge bebwa wange kula nyingi
Wana yanga ivi mbeya city nalo tawi letu
Hii ni Siimba au Ngada
mmmmmhu!
Asante taariq kiakala kwa kutekeleza Yale tuliokutuma sisi wananchi Safi Sana kijana wetu…
Bocco alikuwa offside sababu ya kuuluka mpra
Asante mbaya sit
https://youtu.be/wanEOeDFcoM
Wapenda game za simu na computer hapo juu patakufaa sana
https://youtu.be/wanEOeDFcoM
Wapenda game za simu na computer hapo juu patakufaa sana
Magoli yote yanafanana kwa hiyo Kama Simba Ni off side hata la mbeya City hivyo
Kama umeelewa maana halisi ya shangilia waliyo shangilia nayo MBEYA CITY gonga like twende sawa
dah washenzi ushangiliaji gani uo sasa
Goli la simba ni la mchongo
Wametudharau sana hadi wanashangilia kizarau yote shabalala kudharau Ule mpira akijua unatoka kumbe wala kipa nae hata kuufuataa kaganda tuu kama sanamu ya michelini….
Magoli yote yanafanana kwa hiyo Kama Simba Ni off side hata la mbeya City hivyo