Magoli yote | Biashara United 1-3 Dodoma Jiji | NBC Premier League 05/05/2022



Timu ya Dodoma Jiji imeipa kichapo cha mabao 3-1 Biashara United katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Nyamagana, Jijini Mwanza.

Magoli ya Dodoma yamefungwa na Khamis Mcha dakika ya 15 na 35, pamoja na Anuary Jabir dakika ya 48 huku goli pekee la Biashara likifungwa na Omary Chibada dakika ya 25.

Camiseta Sevilla FC 1ª Equipación 2020/2021 Niño Vente Maillot de foot Pas Cher 2018, Maillot de Foot 2018-2019 50% Off.

Comentarios

14 respuestas a «Magoli yote | Biashara United 1-3 Dodoma Jiji | NBC Premier League 05/05/2022»

  1. Avatar de John Lazaro

    Asantee sana Dodoma

  2. Avatar de G piusi Pius pius

    Waliupiga mwingi acheni wivu

  3. Avatar de Benjamin Denice

    Dodoma naona inabebwa isishuke daraja

  4. Avatar de Khalifa Sultan

    Bongo Bhana,Sasa Hata Kama Mtu Hajui Mpira/Hajui Kuchezesha Hio Ni Penalty Gani Sasa Dah😂😅😅😅

  5. Avatar de Bht Mtk

    NALUDIA TENA BIASHARA ACHANA NA HUYO KOCHA MTASHUKA DARAJA DIDIER BAHAT SO KOCHA MZR KBSA YAN KILA CK NAWAMBIA

  6. Avatar de Joseph john Magesa

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila marefa reee wetu bana Sasa penati Gani ii

  7. Avatar de Emed Online Tv

    masudi juma ameibadilisha DODOMA JIJI kwakweli

  8. Avatar de Loveness Kalenge

    Yaan ligi ngum kwa kweli

  9. Avatar de Mswahili Gerald

    Yangavsbiasharaunitedleo

  10. Avatar de Man Jaruu

    Asanteni dodoma jiji

  11. Avatar de Elius Rambo

    hongera Dodoma jiji