Azam FC leo imekabwa koo na Kagera Sugar katika mchezo wa #NBCPremierLleague uliopigwa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo umemalizika kwa sare ya kutofungana licha ya kuanza na mkali wa mabao, Prince Dube ambaye amekuwa nje ya dimba tangu kuanza kwa msimu huu kutokana na majeraha.
Camiseta España Portero en negro2020 Edición Copa De Europa Nino Maillot De Football Personnalisé Pas Cher sur CLUB-SHOP ✓ Livraison rapide ✓ Devis PRO CLUBS en 24h ✓ + de 5000 Réf. Sport en Stock ✓
Comentarios
23 respuestas a «Azam FC 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 12/12/2021»
Azam hawajui kusajili
KINGWENDU NO 2 / FATAKI
https://youtu.be/RdqROgDwEqg
Awa Azam ni mavi ya fisi.
Kagera
Uwa naawakubali Sana
Mara hii kaitaba simba hatoki salama
Punguzeni mwanga wa hizo mabango
Namshauri bahresa awape YANGA UWANJA HAWA AZAM WANAMZINGUA MZEEE
azam waliogopa jez walidhani ni yanga
Here to see hizo bango za matangazo za kielektoniki 😂
Wachezaji wa Azam wanakula mishahara bure bila kufanya kazi. Mzee Bakhresa hiyo timu ivunjilie mbali hapo Chamanzi Jenga kiwanda hata cha kutengeneza pipi za watoto utapata faida kubwa kuliko kuwa na wachezaji na benchi la ufundi wa hovyo kiasi hicho.
Hamna safari hapo
Hamna safari hapo
Gari la mkaa😅
big up kagera japo droo ila mmeimarika kwa ssa big up sana maana hapo ni kwao ila mmeonyesha kuna ki2 ndan yenu endeleen kupamba
0:27 Kwenu studio kwa maoni zaidi
Uanja mzurii wachezaji hawana njaa shida nn jmni uongozi ama vip sielewi
Duu bosiee samaan Sana mzee tunajua kwamba hii timu ni yako nikweli ila tambua kwamba sisi ni mashabiki wa azam timu mpaka bidhaa zako mimi hata maji pia nanunua uhai enegi pia azam kwa mapenzi na timu sasa mbona timu inatunyima raa bosi wetu wa azam tatzo baba tunateseka
Uwajani kama ulaya vile
Ikiwa chamaz munatoa droo mukienda mikoani itakuaje au ndio muna jambo lenu
Azam waliwafungia wachezaji kwa fitna sasa ndo matokeo hayo🙌
Kipenzi Cha yanga umerudi dubee
Badilisheni kocha Nyinyi mbwa 🐕🐕
Daaaah Azam shida nini jamani
Azamu mbovu